Mo apewe Simba sports club bila masharti

Mo apewe Simba sports club bila masharti

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima
Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
 
Wote walioko ukumbini Mo kawapa bonge la zawadi
 
Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba?

Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah!
 
Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba?

Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah!
Kumbe ni yake tayari
Dah basi sawa!
 
Mangungu kasema Simba Ina wanachama 18 elfu hii number ni ndogo sana
 
Mangungu anasema yanga walikuwa malofa wakati wa kupigania uhuru na Simba ndio ilikuwa na matajiri waliodhamini harakati za uhuru 🤔
 
Back
Top Bottom