uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 #1 Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #2 Mangungu anakubalika sana
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 6, 2024 #3 Yaani apewe timu bila ya masharti, kisa tu baadhi yenu mnamkubali sana! Basi sawa.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #4 Mkuu wa wilaya anampongeza Rais wa jamhuri kwa kuiunga mkono Simba
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #5 Tate Mkuu said: Yaani apewe timu bila ya masharti, kisa tu baadhi yenu mnamkubali sana! Basi sawa. Click to expand... Mi ni Yanga mkuu naangalia kinachotokea hapa ukumbini Na pia mo kakataza fitna acha fitna
Tate Mkuu said: Yaani apewe timu bila ya masharti, kisa tu baadhi yenu mnamkubali sana! Basi sawa. Click to expand... Mi ni Yanga mkuu naangalia kinachotokea hapa ukumbini Na pia mo kakataza fitna acha fitna
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #6 Wote walioko ukumbini Mo kawapa bonge la zawadi
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Oct 6, 2024 #7 Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba? Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah!
Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba? Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah!
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #8 Kambaku said: Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba? Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah! Click to expand... Kumbe ni yake tayari Dah basi sawa!
Kambaku said: Apeweje kitu chake tena jamani? Mo si alishasemaga alishainunua Simba? Simba ina versions nyingi za umiliki yaani dah! Click to expand... Kumbe ni yake tayari Dah basi sawa!
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #9 Mangungu kasema Simba Ina wanachama 18 elfu hii number ni ndogo sana
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 6, 2024 Thread starter #10 Mangungu anasema yanga walikuwa malofa wakati wa kupigania uhuru na Simba ndio ilikuwa na matajiri waliodhamini harakati za uhuru 🤔
Mangungu anasema yanga walikuwa malofa wakati wa kupigania uhuru na Simba ndio ilikuwa na matajiri waliodhamini harakati za uhuru 🤔
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Oct 6, 2024 #11 Tate Mkuu said: Yaani apewe timu bila ya masharti, kisa tu baadhi yenu mnamkubali sana! Basi sawa. Click to expand... Huyo anayetoa ushauri ni yanga mwenzenu usije kushangaa akatoa ushauri Kama huo yanga wampe timu Gsm.
Tate Mkuu said: Yaani apewe timu bila ya masharti, kisa tu baadhi yenu mnamkubali sana! Basi sawa. Click to expand... Huyo anayetoa ushauri ni yanga mwenzenu usije kushangaa akatoa ushauri Kama huo yanga wampe timu Gsm.
B Baba mtumishi JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 306 Reaction score 266 Oct 6, 2024 #12 Hahahaaa uhurumoja said: Mangungu anakubalika sana Click to expand... A!