William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka CAF. Bilion 2.5.
Kuona usajili umekamilika bila kutia ela yoyote. Akaagiza akina jaribu tena wachukue mzungu moja ili ionekane na yeye kashiriki. Wakachukua mbrazili. Akakataliwa na tff kwani alitokea ligi za wilaya. Ndio wakachukua kipa aliyekuwa na mpango wa kutemwa ka uro 1.3 millioni ikiwa ni zaidi ya blillion 3.
Licha ya kuibeba simba sana ila msimu huu yeye ndio kazingua sana.
Upigaji huo umeacha wachezaji wakigawanyika na kushuhudia ubaguzi wa wazi wa rangi.