William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Mwanaume ukijua tu Kukaza vizuri Kamba na yule Unayemkazia Kamba yake akifurahi basi tegemea tu kila wakati atakuwa anapenda Kukutajataja Mkazaji Kamba wake ili usiache na ukahamia Kuwakazia Kamba Wengine.Kwani GENTAMYCINE anasemaje?
Mwehu huyo atasema nnKwani GENTAMYCINE anasemaje?
Mleta mada bado anahamini eti MO anaweza kutoa bilion 3 kumsajili kipa[emoji23][emoji23][emoji23] kwa tetesi na ndio ukweli nmeambiwa kuwa kipa kaja freeKuna chanzo cha uhakika kimeambiwa Muwekezaji hatoi hela ya usajili.
Muwekezaji ni Muhumi mno kwenye pesa.
Amewekeza jina tu pale msimbazi na pia ni mtu wa ingia toka.
Duh! Makonda tena?Hapa ndipo unakuja kugundua umuhimu wa kuwa na watawala kama Makonda.
Mwenyekiti unakataa kujiuzulu,unapotezwa tu.Sijui Rage analeta usomali wake anatekwa na kuonywa asilete dharau kwa RAIA wa nchi hii.Mo alitakiwa kulazimishwa ama aachane na soka aende kufadhili chama chake cha siasa.
Simba inahitaji mwekezaji mwingine kama gsm sio muhuni bahili kama huyu mbwia unga
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app