Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwa sasa simba tushajitoa kwenye hayo masekeseke ya kugombanisha uongozi na wachezaji.......next levelTukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha?
Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa
Bundi katua Makolo fc
Nyanoko gete!Taitu Kalesa ndili muche makolo
kwani nani hajui hao ,ligi ikianza kelele kibao ,mwaka jana waliongiza ligi zaidi ya point 10 wakafika wapi ,ligi ndo imeaza draw tu ya Simba kelele kibaoHatuoni hata fukuto itoshe kusema utopolo wana kimuhemuhe
Sawa Sawa mkuu, naona kinaendana na kifipa..Kimambwe ambao wanapatikana mpakani mwa Zambia na Tanzania katika mkoa wa Rukwa
Yaah hiyo ni jamii moja Coz watu wa mkoa wa Rukwa kwenda Zambia ni kama kunusa tuSawa Sawa mkuu, naona kinaendana na kifipa..
Nini maana ya neno Makolo?Taitu Kalesa ndili muche makolo