Mo awachana simba

Mo awachana simba

Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha?

Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa


Bundi katua Makolo fc
Kwa sasa simba tushajitoa kwenye hayo masekeseke ya kugombanisha uongozi na wachezaji.......next level
 
Hatuoni hata fukuto itoshe kusema utopolo wana kimuhemuhe
kwani nani hajui hao ,ligi ikianza kelele kibao ,mwaka jana waliongiza ligi zaidi ya point 10 wakafika wapi ,ligi ndo imeaza draw tu ya Simba kelele kibao
 
Mwamedi alidhani mpira ni sawa na entapraizesi yake ile. Huku kunahitaji mioyo ya chuma... Makolo wakipoteza gemu kama tano hv mfululizo walahi atavitoa na vile viberiti kwenye jezi zao
 
Back
Top Bottom