Mo Dewj mjanja Sana


Kwa hayo aliyoyafanya timu imenufaika ama haijanufaika?
 

Wameshupalia sana tunaibiwa tunaibiwa hata sijui tunaibiwa nini. Halafu toka lini Utopolo wakatuonea huruma Simba? Ya kwao yamewashinda kazi kushupalia yasiyowahusu.
 
Ungetuliza mshono kwa majibu ya mashabiki
 
Ujengewe sanamu
 
Kwa kipindi chote alichotoa B21, klabu ya Simba imeingiza kiasi gani?

Zile fedha za kadi za mashabiki zilienda wapi?
Fedha za kadi kwa mwaka zinacover mishahara ya mwaka ya wachezaji wawili tu, vipi kuhusu 28 wengine?

Wanachama 15000 × Tsh.22000 = Tsh.330m

Kwa kifupi Mo alikuwa zaidi ya mdhamini, alikuwa mfadhili.
 
Na hata katika Medani za Ujasiriamali kuwa Samjo Samjo ( Mjanja Mjanja ) ni Sifa 'tukuka' mojawapo ya Kujipatia Faida zaidi.

Tena Mimi kama GENTAMYCINE naona Mo Dewji ametusamehe katika Kutuibia Simba SC kama wana Yanga SC wengi mnavyosema hivyo basi kwa haya Mafanikio makubwa aliyotupa Simba SC ndani ya hii Miaka Minne ( 4 ) namuomba sasa aanze 'Kutuibia' vile atakavyo.

Ila ahakikishe tu kuwa Simba SC inabeba tena Vikombe Msimu ujao na safari hii tufike Nusu Fainali ya CAF CL ili Msimu ujao ( Msimu Keshokutwa ) tutinge Fainali na ikiwezekana tuwe Mabingwa wa Afrika.
 
Nyani wa Utopolo mumeandamishwa kwenda kupokea wachezaji vimeo na kumbeba msomali lakini mnashindwa kuhoji ahadi ya ubingwa kupotea hewani lakini mko bize kubana pua kuhoji mambo ya Simba huo ni uchoko.
 
Safi sana kwa jibu ulilompa hata yy akitaka aende pale awekeze aiibie club maana ukimuuliza katika club anayoishabikia hata kwa mwezi elfu moja anatoa?
Excellent! Wao wasioibiwa wa nini cha maana? Wamepata vikombe vingapi hadi sasa? Wanadaiwa kiasi gani na wachezaji (Bakuli FC)
 
Wanaomba leo kesho mo aondoke, walivyo wanafki wanajifanya kutengeneza vihoja vyao visivyo na mashiko mara ooh mo tapeli!! nk .. [emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watulie dawa iwaingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…