Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.
Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.
Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.
Amkeni mambumbumbu!
Kwa hayo aliyoyafanya timu imenufaika ama haijanufaika?