Mo Dewj mjanja Sana

Mo Dewj mjanja Sana

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.

Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo ingeingia klabuni Simba SC kama mapato ya klabu iwe pesa ya uwekezaji kutoka kwake.

Ndani ya miaka 4 mapato ya kimkataba na matangazo na pesa kutoka kafu (hapo sijazungumzia mirija mingine) leo hii limetengenezwa picha ionekane inatoka mfukoni mwa Jamaa. Nilitaarifiwa kuwa tangu jamaa aingie pale yeye alijipa mamlaka ya kumiliki password ya Bank Account ya klabu, bado sikuweza kuamini.

Hivi leo nimeamini kuwa posho ya miaka 4 minne aliyokuwa akilipa mishahara na usajili wa klabu kwa kipindi chote hiko ndio thamani halisi ya hisa asilimia 49% za klabu ya Mikia FC.

Amkeni mambumbumbu!
 
Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
 
Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni,,,,, timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili,, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
😆😅😄😄😃😃😂😂😁😀😁😁😀😀
Mwenye Kuelewa Kaelewa
 
Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni,,,,, timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili,, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
Safi sana kwa jibu ulilompa hata yy akitaka aende pale awekeze aiibie club maana ukimuuliza katika club anayoishabikia hata kwa mwezi elfu moja anatoa?
 
Kwe2 cc mashabiki hata angemiliki bure kabisa hatujali,

Furaha yetu nikuona kina al ahly wakipata mateso makubwa pale kwa mkapa basi! Sasa wewe utopolo nini kinakuwasha? Subiri kupokea michezaji airport na kulibebelea juujuu li inginia lenu.
 
Hayo ni matakwa ya mashabiki wenye timu yao kweli? Wenyewe wanataka furaha,na bilashaka wanaipata. Ndo maana hata Manara alitaka kuwapa kichefuchefu wamemtia mitama akafie mbali. Haya kazungumze na Mzee Mpili labda. Simba hawakuelewi hata!
 
😆😅😄😄😃😃😂😂😁😀😁😁😀😀😃😃
Mwenye Kuelewa Kaelewa
Kwaiyo izo pesa zikiingia simba sisi mashabiki tutakua tunagawiwa au ? Shida si team iwe na wachezaji bora? Si team iwe na miundomino mizuri? Wachezaji na benchi la ufundi si wana lipwa vzr? Team si inashinda mataji?

Kama team yetu ingekua inayumba kama utopolo tunge hoji ila team imazid kuchanja bungu, team ni no12 Africa kwa ubora ,,imeingia robo fainal mara 2 imechukua umbigwa mara4 ,FA×2 inaongoza kwa wafuasi mitandaoni Afrika nzima we uto unataka nn
 
Kwa kipindi chote alichotoa B21, klabu ya Simba imeingiza kiasi gani?

Zile fedha za kadi za mashabiki zilienda wapi?
 
Nilivyoona umeandika kafu badala ya Caf nimeacha kabisa kusoma,waliokuelewa watajibu uzi wako,ila niseme wewe ni mjinga mwandamizi,kuandika tu uwezi utaweza kuelewa mambo ya uwekezaji kweli?!
 
Back
Top Bottom