Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
-
- #41
MO hatoi pesa anatoa ahadi. GSM anamwaga pesa.Unaamini MO na GSM wanatoa hizo pesa sababu ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga? Wafanyabiashara hawana hayo mapenzi ya hivyo.
Kwanini anamwaga pesa?MO hatoi pesa anatoa ahadi. GSM anamwaga pesa.
Yanga Bingwa.Kwanini anamwaga pesa?
Anamwaga mapesa yake ili Yanga iwe bingwa NBC? Anyway, hoja yangu ni kuwa wawekezaji hawatoi pesa sababu ya ushabiki kama tulio mimi na wewe wa humu JF.Yanga Bingwa.
Chamsingi Yanga Bingwa, hayo mengine ni porojo tu kama za MooAnamwaga mapesa yake ili Yanga iwe bingwa NBC? Anyway, hoja yangu ni kuwa wawekezaji hawatoi pesa sababu ya ushabiki kama tulio mimi na wewe wa humu JF.
GSM ni mdhamini tu baaasi. Wanamtangazia bidhaa zake ziuzike kwa wingi na yeye anawalipa Yanga. Hii ni tofauti sana na mo. Mo yeye ni mwekezaji simba mwenye hisa 49% ingawa katiba ya sasa inapingana na uwekezaji wake.Bahati nzuri Simba Kuna utaratibu wa kisheria ambao, sawa bado haujakaa saa lakini MO na wadau wengine wa Simba hawana budi kuufuata!
Yanga Sasa, ni vururuvururu! Hivi GSM ni nani kwa Katiba ya Yanga? Ahahahahaha!!
Chura amekuwa bingwa wa NBC nakubali. Kwa misimu mi5 sasa anakoroma kibabe.Chamsingi Yanga Bingwa, hayo mengine ni porojo tu kama za Moo
Hata mimi hakuna mahali nimeswma hivyo.Unaamini MO na GSM wanatoa hizo pesa sababu ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga? Wafanyabiashara hawana hayo mapenzi ya hivyo.
Rage alisema wana Simba MbumbumbuMImi ni shabiki wa Simba ila huwa nawahurumia jamaa anavyowadanganya.
Kuna kipindi kapiga picha na watu wa Juventus halafu akasema kaingia nao makubaliano kuhusu Simba halafu kukawa hamna kitu kinachoendelea, baadae akapiga picha na timu ya Marekani story ni hizohizo juzijuzi siku ya Simba day anasema kaingia makubaliano na Sturgatt yaani katuona wanasimba wote watu wa kudanganywa.
Uko sahihi kabisa Mwamba. 👍👍👍👍GSM ni mdhamini tu baaasi. Wanamtangazia bidhaa zake ziuzike kwa wingi na yeye anawalipa Yanga. Hii ni tofauti sana na mo. Mo yeye ni mwekezaji simba mwenye hisa 49% ingawa katiba ya sasa inapingana na uwekezaji wake.
Mwakani tenaChura amekuwa bingwa wa NBC nakubali. Kwa misimu mi5 sasa anakoroma kibabe.
Ngoja tuone.Mwakani tena
🤮🤮Hizo pesa kwanini hakuwalipa wapishi wa Singida United akabaki huko? Tumia akili
Mimi hapa.Kwani bilionea gani duniani hana pigo za kitapeli?
Tapeli anamchunguzaje tapeli mwenzieKuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Wanazidiana mkuuTapeli anamchunguzaje tapeli mwenzie
?
HahahahaSema muongo muongo sana huyu tajiri