Kwa keeKuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Kwa kweli, khanjibhai janja janja.Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Usisahau wakaajiri na mtaalamu wa ku scout wachezaji mpaka Leo simsikii tenaMImi ni shabiki wa Simba ila huwa nawahurumia jamaa anavyowadanganya.
Kuna kipindi kapiga picha na watu wa Juventus halafu akasema kaingia nao makubaliano kuhusu Simba halafu kukawa hamna kitu kinachoendelea, baadae akapiga picha na timu ya Marekani story ni hizohizo juzijuzi siku ya Simba day anasema kaingia makubaliano na Sturgatt yaani katuona wanasimba wote watu wa kudanganywa.
Hahahaaa. This is Simba.Usisahau wakaajiri na mtaalamu wa ku scout wachezaji mpaka Leo simsikii tena
Yule alijiondoa baada ya kuona hashirikishwi wachezaji anaoleta hawqchukuliwi wanaochukuliwa hawqjulikani wametoka wapiUsisahau wakaajiri na mtaalamu wa ku scout wachezaji mpaka Leo simsikii tena
Ulishasikia wapi bilionea anakamatwa na anapatikana anakosa hata confidence ya kusema waliomkatama.Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Bhahahahaaa. Rais wa muda wote.Ulishasikia wapi bilionea anakamatwa na anapatikana anakosa hata confidence ya kusema waliomkatama.
Pale hakunaga bilionea wakuu, ni celebobo tu lile
Sasa mashabiki ya Simba yenyewe si unayaona? Unafikri Ismail Aden Rage alikuwa mjinga kuyaita mbumbumbu? Yaache yaendelee kwenda KUNYA Jangwani!Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
HahahaaaSasa mashabiki ya Simba yenyewe si unayaona? Unafikri Ismail Aden Rage alikuwa mjinga kuyaita mbumbumbu? Yaache yaendelee kwenda KUNYA Jangwani!