Mo Dewji acha kuivuruga Simba. Hiyo ni Klabu ya wanachama, hautafanikiwa kwa lolote

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Hapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike
Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi umekuwa nani? Mwenye uwezo wa kumfukuza kazi Nkwabi ni wapiga kura na si vinginevyo nakuhakikishia hautafanikiwa

Sisi tunamtambua Nkwabi kama Mwenyekiti wa Simba na kama utaamua kutumia vibaraka wako kumwondoa Nkwabi jiandae kukwama utaikimbia club utaicha kama ulivyoikuta


Unataka uitishe uchaguzi kihuni uweke kibaraka wako ili ujimilikshie Simba kinyume cha sheria hautafanikiwa Mzee

Hata mbinu yako ya kuajiri watu kutoka nje tunajua ni mipango yako ya kuondoa Watanzania kwenye uongozi ili ufanikishe malengo yako maovu ya kitwaa club chetu


Tunajua mipango yote mnayopanga nyuma ya pazia but hautafanikiwa Simba haiwezi kumilikiwa na wewe wala yeyote

Unanufaika na club kwa kutangaza biashara zako lakini club haina chochote

Tulikuuluza Simba ilifika Robo fainali ligi ya mabingwa mwaka huu kwanini zile pesa ulijimilikisha kwenye account yako?
Hatujui pia mapato ya viingilio mechi za champion ligi yaliishia wapi

Miaka mitatu umeingia mkataba wa kutangaza bidhaa zako kwa kuahidi kujenga uwanja wa mazoezi wa Simba lakini wewe unadanganya mashabiki mbumbumbu kuwa unajenga bure uwanja wa mazoezi

Usione kina Mzee kilomoni wametulia ukadhani umefanikiwa kuwaondoa kwenye mfumo .ogapa Maji yaliyotulia

Hata hili la Nkwabi kumfukuza uenyekiti ulete kibaraka chako kingine

Simba haitabadilika we endelea kucheza serakasi zisizo na kichwa wala miguu
 
Simba ya sasa mirija imekatwa tutegemee chokochoko sana.
Zamani fedha walikuwa wanagawana viongozi na wapambe wao wachezaji wanapata kiduchu mashabiki na wanachama hawapati fedha wala furaha sasa hivi wachezaji wanapata fedha na mashabiki wanapata furaha, uwanja umejengwa, klabu ina endelea vizuri.
Niendelee kuwakumbusha wanaSimba hizi chokochoko lazima ziendelee wanachama wenye njaa na baadhi ya vyombo vya habari vitaendeleza sana chokochoko.
Tafuteni kazi nyingine Simba ya sasa msitegemee kama itaingia kwenye mgogoro hizo zama zilishaisha.
 
Bora alivyo waondoa Watanzania na kuleta wangeni, wabongo maneno mengi utendaji kazi hakuna, mnawaza kuiba tu, wacha Mo aendeshe club...

Hiyo club ukimpa mzee Kilomoni ataweza kuiendesha hata kwa siku tatu??? Mirija imekatwa mnaanza kulilia
 
Bora alivyo waondoa Watanzania na kuleta wangeni, wabongo maneno mengi utendaji kazi hakuna, mnawaza kuiba tu, wacha Mo aendeshe club...

Hiyo club ukimpa mzee Kilomoni ataweza kuiendesha hata kwa siku tatu??? Mirija imekatwa mnaanza kulilia
Duh! Kudos man.
 
hebu weka picha yako halisi,bila shaka ww ni mzee kilomoni unatumia jina jingine 🀣 🀣 🀣 🀣
 
binafsi namtambua shujaa kilomoni kama mwenyekiti,MO ni beberu tu kama mabeberu wengine πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Endelea kumtambua, timu inaongoza ligi na pitch ya mazoezi imeshajengwa. Timu haidaiwi deni lolote na yeyote
 
Mo anajibinafsisha simba wakati ni timu iliyojengwa kwa nguvu za mababu zetu kwa miaka mingi na wanachama tunaangalia tu tunadanganywa kwa kuletewa wabrazil uchwara wana simba wenzangu amkeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…