Mo Dewji acha kuivuruga Simba. Hiyo ni Klabu ya wanachama, hautafanikiwa kwa lolote

You are very right mirija imejatwa wajanja wajanja wote watatoka nduki
 
Wewe hujui lolote kuhusu simba. Huyo mkwabi unayemtaka ni mpigaji tu amekuta hakuna alichotegemea kupata kasepa mapema.
 

Hapo hata fees ya watoto wako unashindwa kulipa, mashabiki tunataka furaha tu hata kama timu inaenda kwa MO au kwa Akilimali as long as timu inafanya vizuri hatuna shida,
 
Mwenzako kakimbia alifikiri akiwa mwenyekiti atapiga zile za mirija, alivyoona mirija imekatwa akaona bora arudi kulima tembele..
Hii ndio Simba tunayoitaka sasa we endelea kujaza seva za jf uache kufanya kazi ukitegemea utauona mrija Simba..
 
Kwanini msiseme ukweli tu mnahangaika kuzusha uongo. Nkwabi akatae akubali yeye ndie aliyekuwa anamsapoti Kilomoni na genge lao kuleta vurugu Simba viongozi wenzake wakamshtukia. Mpango wao ulipofeli baada ya waziri kuweka mambo sawa kuhusu uwekezaji Nkwabi kasubiri mambo yamepoa na nafsi ikamsuta katoka mbio. Na bado watakimbia wenyewe Simba waliokuwa wameigeuza hii timu ATM. Kwa Mo hakuna pesa isiyokuwa na maandishi. Hizo habari sijui kuna pesa za CAF na za milangoni hayo mambo ya kizamani wakati timu zinaposomewa mapato na matumizi ukumbini wakati hata ripoti haijulikani katengeneza nani na si ajabu viongozi hao hao wanaisoma ndio wanakuwa wameitengeneza.

Sasa hivi Simba ni kampuni subirini Audited Report (ripoti ya ukaguzi wa fedha) mwisho wa mwaka ambayo kwa sheria za nchi lazima ifanywe na kampuni inayotambulika na iliyosajiliwa na mamlaka za serikali ndio mleta hoja zenu kama kuna kifungu cha pesa hakina vielelezo.
 
Bahresa kaanzisha Azam FC na pana fununu Diamond anataka kuanzia Wasafi FC. Huyu mdosi anapiga hapohapo tu mpaka wamtambue.
 
mbona miandiko ni mingi kwenye makala moja?
 
Bora alivyo waondoa Watanzania na kuleta wangeni, wabongo maneno mengi utendaji kazi hakuna, mnawaza kuiba tu, wacha Mo aendeshe club...

Hiyo club ukimpa mzee Kilomoni ataweza kuiendesha hata kwa siku tatu??? Mirija imekatwa mnaanza kulilia
Naona unamtetea Kinjibai mwenzako
 
Mkwabi hajaandika barua ya kijiudhuru
Isipokuwa genge la mo ndio wamemtangazia mkwabi kijiudhuru tuwe makini Simba inachukuliwa jumla
 
Mo anajibinafsisha simba wakati ni timu iliyojengwa kwa nguvu za mababu zetu kwa miaka mingi na wanachama tunaangalia tu tunadanganywa kwa kuletewa wabrazil uchwara wana simba wenzangu amkeni
Simba ni klabu ya wahindi tangia hatujapata uhuru.

Yanga ndio iliasisiwa kama klabu ya waafrika ( wananchi)
 
Kwangu Mimi mwasimba sioni faida yoyote kuendelea na mfumo wa kijima..yaani ikiwezekana Mo achukue jumla 100 asilimia 100..kuliko nyie matapeli yanayotegemea viingilo kuishi..
 
Hakuna timu ya wahindi tanzania sio simba wala yanga tusidanganyane. Ila mo si muda mrefu atapata anachokitafuta. Na kama timu ni ya waindi mbona ku kipindi wahindi wanakaaga pembeni timu inabaki na wazawa wakina mzee akilimali
 
Hakuna timu ya wahindi tanzania sio simba wala yanga tusidanganyane. Ila mo si muda mrefu atapata anachokitafuta. Na kama timu ni ya waindi mbona ku kipindi wahindi wanakaaga pembeni timu inabaki na wazawa wakina mzee akilimali
Yaani unataka timu zetu ziendelee kuongozwa kizamani. Usipumbazwe na hao wajanja wa mjini labda huwajui
 
kazi yako mshabiki ni kushangilia kuzomea basi, kama umenyimwa ulaji acha kulalamika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu njaa inakupeleka kubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…