😂😂😂hii comment imenichekesha kama hiyo avatar yako🤣🤣🤣🤣Mkwabi sasa kwanini umekuja na I'd fake
ashkh majinuni zimeaanza mapema hivibinafsi namtambua shujaa kilomoni kama mwenyekiti,MO ni beberu tu kama mabeberu wengine 😀 😀 😀 😀
mkwabi kumbe na ww upo jf? Id yako ngumu bana badilHapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike
Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi umekuwa nani? Mwenye uwezo wa kumfukuza kazi Nkwabi ni wapiga kura na si vinginevyo nakuhakikishia hautafanikiwa
Sisi tunamtambua Nkwabi kama Mwenyekiti wa Simba na kama utaamua kutumia vibaraka wako kumwondoa Nkwabi jiandae kukwama utaikimbia club utaicha kama ulivyoikuta
Unataka uitishe uchaguzi kihuni uweke kibaraka wako ili ujimilikshie Simba kinyume cha sheria hautafanikiwa Mzee
Hata mbinu yako ya kuajiri watu kutoka nje tunajua ni mipango yako ya kuondoa Watanzania kwenye uongozi ili ufanikishe malengo yako maovu ya kitwaa club chetu
Tunajua mipango yote mnayopanga nyuma ya pazia but hautafanikiwa Simba haiwezi kumilikiwa na wewe wala yeyote
Unanufaika na club kwa kutangaza biashara zako lakini club haina chochote
Tulikuuluza Simba ilifika Robo fainali ligi ya mabingwa mwaka huu kwanini zile pesa ulijimilikisha kwenye account yako?
Hatujui pia mapato ya viingilio mechi za champion ligi yaliishia wapi
Miaka mitatu umeingia mkataba wa kutangaza bidhaa zako kwa kuahidi kujenga uwanja wa mazoezi wa Simba lakini wewe unadanganya mashabiki mbumbumbu kuwa unajenga bure uwanja wa mazoezi
Usione kina Mzee kilomoni wametulia ukadhani umefanikiwa kuwaondoa kwenye mfumo .ogapa Maji yaliyotulia
Hata hili la Nkwabi kumfukuza uenyekiti ulete kibaraka chako kingine
Simba haitabadilika we endelea kucheza serakasi zisizo na kichwa wala miguu
Nilichosangaa ni ki vipi mwenyekiti aliyechaguliwa kwa kura kuandika barua kwa bodi kuitaarifu kujiuzuru nafasi hiyo!Mkwabi hajaandika barua ya kijiudhuru
Isipokuwa genge la mo ndio wamemtangazia mkwabi kijiudhuru tuwe makini Simba inachukuliwa jumla
Weka wazi hio mipango yao hapa , la sivyo tutajua na wewe ni wale vibaraka mirija yao ya kupatia pesa imekatwa...Hapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike
Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi umekuwa nani? Mwenye uwezo wa kumfukuza kazi Nkwabi ni wapiga kura na si vinginevyo nakuhakikishia hautafanikiwa
Sisi tunamtambua Nkwabi kama Mwenyekiti wa Simba na kama utaamua kutumia vibaraka wako kumwondoa Nkwabi jiandae kukwama utaikimbia club utaicha kama ulivyoikuta
Unataka uitishe uchaguzi kihuni uweke kibaraka wako ili ujimilikshie Simba kinyume cha sheria hautafanikiwa Mzee
Hata mbinu yako ya kuajiri watu kutoka nje tunajua ni mipango yako ya kuondoa Watanzania kwenye uongozi ili ufanikishe malengo yako maovu ya kitwaa club chetu
Tunajua mipango yote mnayopanga nyuma ya pazia but hautafanikiwa Simba haiwezi kumilikiwa na wewe wala yeyote
Unanufaika na club kwa kutangaza biashara zako lakini club haina chochote
Tulikuuluza Simba ilifika Robo fainali ligi ya mabingwa mwaka huu kwanini zile pesa ulijimilikisha kwenye account yako?
Hatujui pia mapato ya viingilio mechi za champion ligi yaliishia wapi
Miaka mitatu umeingia mkataba wa kutangaza bidhaa zako kwa kuahidi kujenga uwanja wa mazoezi wa Simba lakini wewe unadanganya mashabiki mbumbumbu kuwa unajenga bure uwanja wa mazoezi
Usione kina Mzee kilomoni wametulia ukadhani umefanikiwa kuwaondoa kwenye mfumo .ogapa Maji yaliyotulia
Hata hili la Nkwabi kumfukuza uenyekiti ulete kibaraka chako kingine
Simba haitabadilika we endelea kucheza serakasi zisizo na kichwa wala miguu
BMT usimamizi wenu kwenye soka sijawahi kuona uwajibikaji wenu hata siku moja yaani mmelala usingizi wa pono na mnashindwa hata kuwawajibisha walio chini yenu, yaani Karia ana nguvu kuliko Tenga! !Hapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike
Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi umekuwa nani? Mwenye uwezo wa kumfukuza kazi Nkwabi ni wapiga kura na si vinginevyo nakuhakikishia hautafanikiwa
Sisi tunamtambua Nkwabi kama Mwenyekiti wa Simba na kama utaamua kutumia vibaraka wako kumwondoa Nkwabi jiandae kukwama utaikimbia club utaicha kama ulivyoikuta
Unataka uitishe uchaguzi kihuni uweke kibaraka wako ili ujimilikshie Simba kinyume cha sheria hautafanikiwa Mzee
Hata mbinu yako ya kuajiri watu kutoka nje tunajua ni mipango yako ya kuondoa Watanzania kwenye uongozi ili ufanikishe malengo yako maovu ya kitwaa club chetu
Tunajua mipango yote mnayopanga nyuma ya pazia but hautafanikiwa Simba haiwezi kumilikiwa na wewe wala yeyote
Unanufaika na club kwa kutangaza biashara zako lakini club haina chochote
Tulikuuluza Simba ilifika Robo fainali ligi ya mabingwa mwaka huu kwanini zile pesa ulijimilikisha kwenye account yako?
Hatujui pia mapato ya viingilio mechi za champion ligi yaliishia wapi
Miaka mitatu umeingia mkataba wa kutangaza bidhaa zako kwa kuahidi kujenga uwanja wa mazoezi wa Simba lakini wewe unadanganya mashabiki mbumbumbu kuwa unajenga bure uwanja wa mazoezi
Usione kina Mzee kilomoni wametulia ukadhani umefanikiwa kuwaondoa kwenye mfumo .ogapa Maji yaliyotulia
Hata hili la Nkwabi kumfukuza uenyekiti ulete kibaraka chako kingine
Simba haitabadilika we endelea kucheza serakasi zisizo na kichwa wala miguu
sheria za nchi ziheshimiwe,hakuna mambo ya kishikaji!
Uliona mbaliHapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike