MO Dewji afafanua uwekezaji Klabu ya Simba na kuwahakikishia yupo Simba SC haendi popote!

Kwa kauli ya Mo dewji inaonyesha tatizo kubwa ni Mwakyembe kama wanajua taratibu kwanini waliruhusu zivunje matokeo yake wanaleta malumbano yasiyo na haja kwa kifupi Mwakyembe ni bingwa wa kuleta migongano kwani hata ripoti ya richmond alificha baadhi ya mambo kwa ajili ya kuitetea serikali upande wa Lowassa alipoanza kujitetea ndio akaibuka na kudai kutaka kuweka ripoti hadharani
 
Hivi we kwa akili yako ndogo unahisi mo anakosa milioni 700 kununua eneo LA kujanga eneo LA biashara kariakoo??
Pevusha akili yako kidogo unaonekana una ubongo wa mbu. Soma utaelewa content nzima ya hiyo statement.
 
Mkuu, acha wabwabwaje Simba SC inasonga mbele..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi we kwa akili yako ndogo unahisi mo anakosa milioni 700 kununua eneo LA kujanga eneo LA biashara kariakoo??
 
Reactions: Tui
Mwakyembe hajawahi kufanya lolote la maana katika wizara zote alizopita.

Kuna kipindi alitaka kutuletea mwekezaji wa treni feki.
 
Sema Mo waambie hao Vyura na mzee Kilomoni wao.
 
Pevusha akili yako kidogo unaonekana una ubongo wa mbu. Soma utaelewa content nzima ya hiyo statement.
Yani kwa akili yako ilivyo ndogo hustahili hata kujibiwa ila basi tu!hivi unadhani matamko ya waziri yana impact yoyote kwenye maswala ya mgawanyo wa hisa kisheria!?waziri anatoa ushauri kama mlezi na msimamizi wa michezo na wala sio kama mgawa hisa...
 
ufafanuzi huo akautoe kwa kilomoni mwrnyr timu yake, mbumbumbu tu ndio watakaomuelewa

Kama kweli timu yake si aende Afrika Kusini kuifuata? Timu yake mpaka leo hakuna hata mchezaji mmoja kamsajiri while ligi inaanza next week? Au timu yake jina tu
 
Reactions: Tui
Makwasukwasu FC wameacha matatizo yao na kuwa mashabiki wa Kilomoni aliyegeuka msemaji wao.
 
Ww hamnazo kwahiyo unadhani simba atakabidhiwa MO kwa akili yako FUPI?
USITAKE TUWEKE VITU AMBAVYO HATA HUKUFIKIRIA KENGE MAJI WEWE.
KWA UFUPI MO HAPATI SIMBA WALA MASHAMBA YAKE.
KWENYE MIJADALA HII TULIA USIKILIZIE WATU WAKUPE DATA ZA MAANA. we unaleta ushabiki maandazi hapa? Hamnazo ww..
Sasa sikia hizo timu yaan SIMBA na YANGA ni timu za KISIASA hakuna mtu BINAFSI atazimiliki hata ashuke YESU ndio msingi wa 51% wanachama. BODI wataunda wao na kila kitu wao mwekezaji ni mtaji na gawio lake tu.
Watendaji wengi pale ni watumishi wa serikali na kadhaa ni TISS, ushawahi kujua MSHINDO MSOLA WA YANGA ANAFANYA KAZI GANI? WE UNADHANI HIYO SIMBA IKO HURU? WATENDAJI WAKE UNAWAJUA WANAFANYA KAZI GANI?
ACHA UNAZI WA KIPUUZI USIKUTE HATA KADI HUNA ILA KELELE KIBAO.
wenzako wanajua kuwa MO hapewi timu hata iweje, atafadhili ataondoka, atakuja mwingine. CLUB zile ni kwa madhumuni ya kisiasa na MO akijiingiza atafelishwa kama MANJI ni just MIAKA 4 hadi 5 utaona impact yake. Madili yake yote yatajulikana.
We unadhani JERRY MURO ALIKUWA MSEMAJI WA YANGA TU?
ACHA UJINGA BWAMDOGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…