Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pevusha akili yako kidogo unaonekana una ubongo wa mbu. Soma utaelewa content nzima ya hiyo statement.Hivi we kwa akili yako ndogo unahisi mo anakosa milioni 700 kununua eneo LA kujanga eneo LA biashara kariakoo??
Cobtent!!! Naona vyura wamechanganyikiwa.Pevusha akili yako kidogo unaonekana una ubongo wa mbu. Soma utaelewa cobtent nzima ya hiyo statement.
Sema Mo waambie hao Vyura na mzee Kilomoni wao.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji 'MO' leo Julai 27, 2019 amefafanua kuhusu uwekezaji kwenye Klabu ya Simba SC huku akiwahakikishia wanachama na mashabiki kuwepo kwake kunako Klabu ya Simba SC.
"Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa, Ndugu zangu si kweli Utaratibu huo upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali.
Waziri Mwakyembe alituruhusu sisi tuendelee na mwekezaji mmoja. Ndugu zangu Wanasimba mimi nipo na niko na nyinyi siendi popote.
Na sasa tushazungumza na Serikali na mazungumzo mazuri. Nawasihi wanasimba wote twendeni tukaishangilie timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6.
Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali"
•••Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Twitter
View attachment 1164577View attachment 1164578
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] content nisharekebisha we kilazaCobtent!!! Naona vyura wamechanganyikiwa.
Yani kwa akili yako ilivyo ndogo hustahili hata kujibiwa ila basi tu!hivi unadhani matamko ya waziri yana impact yoyote kwenye maswala ya mgawanyo wa hisa kisheria!?waziri anatoa ushauri kama mlezi na msimamizi wa michezo na wala sio kama mgawa hisa...Pevusha akili yako kidogo unaonekana una ubongo wa mbu. Soma utaelewa content nzima ya hiyo statement.
Mzee Kilomoni amemtingisha Bilionea
Mzee kilomoni nguvu mojaa
Mzee kilomoni shujaa
Sasa sis tikiti inakuaje habari mbaya hii mteseko una endelea du.Kilomoni MWAMBA USIOSHINDIKA
[emoji23]Kilomoni MWAMBA USIOSHINDIKA
ufafanuzi huo akautoe kwa kilomoni mwrnyr timu yake, mbumbumbu tu ndio watakaomuelewa
Wakafie mbele na roho zao za choyoHii itakuwa habari mbaya sana kwa wale media za Wagagagigiko, team Kilo na Ndala FC..!
Ww hamnazo kwahiyo unadhani simba atakabidhiwa MO kwa akili yako FUPI?Yani kwa akili yako ilivyo ndogo hustahili hata kujibiwa ila basi tu!hivi unadhani matamko ya waziri yana impact yoyote kwenye maswala ya mgawanyo wa hisa kisheria!?waziri anatoa ushauri kama mlezi na msimamizi wa michezo na wala sio kama mgawa hisa...