MO Dewji afafanua uwekezaji Klabu ya Simba na kuwahakikishia yupo Simba SC haendi popote!

Acha kuifananisha Yanga ya wazee na Simba sports ya vijana acha kabisa.
.
Eti nasisitiza Mo hatopewa timu wewe kama nani una hata kadi ya uanachama ya Simba kwamba ulishawahi kuwepo kwenye mikutano mbalimbali ya club iliyoamua mstakabali wa klabu?
Tuulize sisi wanaSimba acha kubwabwaja huku sio Mbuteni

Mwanachama wa Simba sports kadi namba 1128
 
Kilomoni ameambiwa ili afanye Press Realese lazima apate kibali kutoka kwa Bodi ya Wagurugenzi ya Simba SC.![emoji23] [emoji23]
 
Hujui lolote lile unazi umekujaa sana.
Nasisitiza hujui lolote lile. Ww ni mtoto kifikra ila mzee kiumri. Hujui nchi hii inaendeshwaje. Kuna vitu ni basics tu kila utawala unafuata hizo njia. Ni vichache sana ndio hutofautina.
Ila mambo mengi huwa vilevile.
MO HATOIMILIKI SIMBA. NASISITIZA HATOIMILIKI SIMBA
 
Hakuna umafia hapo, wakili wake alimwambia tunapigania kitu ambacho hakipo na wewe wamekupiga chini..!

Sasa afuate utaratibu, kama anataka kufanya Press basi amfuate CEO Crescentius Magori..![emoji23]
Hahahaaa. Naona Mtani mmeamua kummaliza kimafia.
 
Hakuna umafia hapo, wakili wake alimwambia tunapigania kitu ambacho hakipo na wewe wamekupiga chini..!

Sasa afuate utaratibu kama anataka Press basi amfuate CEO Magori..![emoji23]
Ila si ajabu akaja na mbinu ingine Mtani.
 
Kila akijipanga na mbinu mbadala atakutana kikwazo murua, mpaka achoke mwenyewe!

Ile juzi nende Polisi mara ameachiwa tayari ameshaona ana safari ndefu..!
Ila si ajabu akaja na mbinu ingine Mtani.
 
Kila akijipanga na mbinu mbadala atakutana kikwazo murua, mpaka achoke mwenyewe!

Ile juzi nende Polisi mara ameachiwa tayari ameshaona ana safari ndefu..!
Naona alitaka leta mpasuko. Nawaza tu ungejificha wapi Mtani. 😀😀😀
 
MO ni muwekezaji wa klabu ya Simba sio mmiliki na hajawahi kutaka kuimiliki hapa ndipo wadau wengi wanapokudharau, wamiliki wa klabu ya Simba ni sisi wanachama akiwemo na MO na sio watu wengine.
.
Umedai mimi sijui lolote kwamba kuna vitu "basics" kila utawala unafuata ni vichache tu ndio vinatofautiana yani mimi nisimfahamu Dkt Mbette Mshindo Msolwa aliyewahi kuhusishwa kafa mwaka 2013 nakuthibitishia kuwa najua mambo.
.
Alihusishwa kuwa kafariki na picha ya enzi zake yuko shule ninayo akiwa pamoja na Abdala Gandi (R.I.P) Charles Matitimbwa (R.I.P) kuna watu wapo hai Johnson Abel na Thabit Matotolwa wamesoma na Mbette Mshindo Msolwa.
.
Acha kumuhusisha Msolwa na TISS au Jerry Muro (former mla rushwa) na TISS inawezekana wewe ndiye hujui vitu mpira tunaujua watu tumetulia tu.
.
Haya tuthibitishie hapa wadau ufanyaji kazi TISS wa Mbette Mshindo Msolwa umeufahamu vipi wakati watu tunamjua toka 1998 na tunajua biashara zake?
 
Naona alitaka leta mpasuko. Nawaza tu ungejificha wapi Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mtani, nakuambia hana madhara yule, ndo maana hakuna atakachosababisha kisisonge mbele..SimbaNguvuMoja
 
Mtani, nakuambia hana madhara yule, ndo maana hakuna atakachosababisha kisisonge mbele..SimbaNguvuMoja
Kuumbe eee. Sasa Mtani mbona Mo alichachawa akawa analia lia Mitandaoni kama Kilomoni hana madhara? Au nje ya Kilomoni kuna wengine wanaomkosesha usingizi?
 
UMILIKI WA HISA unauelewa kweli?
Mwenye hisa ndio tunawaita OWNERS.
Wamiliki, Shareholders ss kwann asiwe mmiliki wa hiyo club? Mbona kama namuelekeza ZWAZWA??
 
Soma sentensi zako mbili za mwisho!!!
Sasa sijui nani Zwazwa?
 
Kuumbe eee. Sasa Mtani mbona Mo alichachawa akawa analia lia Mitandaoni kama Kilomoni hana madhara? Au nje ya Kilomoni kuna wengine wanaomkosesha usingizi?
Achana na habari za Moo haha huyu bado yupo sana, kilomoni kaambiwa aje na barua ya karibuni toka ritta amabayo inaonesha kama yeye ni mdamini


Hongereni kwa kuongeza kikombe bana

 
UMILIKI WA HISA unauelewa kweli?
Mwenye hisa ndio tunawaita OWNERS.
Wamiliki, Shareholders ss kwann asiwe mmiliki wa hiyo club? Mbona kama namuelekeza ZWAZWA??
Huna uwezo wa kunielekeza kwa kuwa huna ulijualo mdogo wangu tulia ujifunze kwa watu wanaojua.
.
Kitu kilichofanya nikuhisi wewe ni mtoto ni kumuhusisha Mbette Mshindo Msolwa na TISS vilevile Jerry Muro na kuniambia sina nilijualo acha kubwata kama jambo hulijui tulia ujifunze
 
Naona Mo bado hajaielewa Serikali. Angalia video hiyo hapo chini. Maagizo ya Serikali yako clear.
 

Attachments

  • VID-20190726-WA0004.mp4
    2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…