Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,278
Acha kuifananisha Yanga ya wazee na Simba sports ya vijana acha kabisa.Mo hajanunua hizo hisa. Business mean a lot to buy and sell either on credit or cash but lazima iwe buy and sell.. yy amebid na sio kununua ndio maana hajaweka hela. We unadhani mgogoro huu kiini chake ni nini?
NASISITIZA MO HATOPEWA TIMU AIMILIKI. MANJI ALIKATALIWA KUIKODI ACHILIA MBALI KUINUNUA.
Huwa napata shida sana na mind za watz wengi hasa masuala yanayohitaji brain nzuri. Kwann hatujipi muda wa kutafakari vitu kwa kina? Kama simba mnataka iwe kampuni pelekeni DSE pale ili watu wanunue hizo hisa. Mchakato wa kuifanya kampuni haimfanyi MO na familia yake kuokota dodo chini ya mbuyu. AJITATHIMINI KISHA AFUNGUE MACHO msako anaosakwa tayari umempata na hapo ndio mwanzo wa stress za kibiashara.
The best advice kwa MO ni kuanzisha timu yake ambapo itamchukua angalau miaka 15 kuwa na fan base ya uhakika kidogo. TOFAUTI NA HILO NIKUHAKIKISHIE MO HAWEZI NA HATOWEZA KUIMILIKI SIMBA SPORTS CLUB.
.
Eti nasisitiza Mo hatopewa timu wewe kama nani una hata kadi ya uanachama ya Simba kwamba ulishawahi kuwepo kwenye mikutano mbalimbali ya club iliyoamua mstakabali wa klabu?
Tuulize sisi wanaSimba acha kubwabwaja huku sio Mbuteni
Mwanachama wa Simba sports kadi namba 1128