Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale yeye kanunua zote 49% kwa 20 billion ili ule mchakato tuendelee sasa hao wawili wakija watauziwa kwa bei ya soko,Mo amechungulia mbali ndio maana amezishika 49% kwa pamoja kwanza,halafu vitabu vya mahesabu vikiwekwa sawa atapiga pesa ndefu sana.Uzuri ni kwamba alichosema na alivyofanya haviendani. Anajua wazi viongozi wa simba kawaweka mfukoni ishu ni SERIKALI na hapo ndio aliposhindwa.
Ishu za HISA hazihitaji UPENZI MAANDAZI ni just a business ambapo tunasema upande utaojipindua itakula kwao. MO anadhani simba watajipindua iwe ameokota BANDA LA BIASHARA PALE KARIAKOO.
Mo hajanunua hizo hisa. Business mean a lot to buy and sell either on credit or cash but lazima iwe buy and sell.. yy amebid na sio kununua ndio maana hajaweka hela. We unadhani mgogoro huu kiini chake ni nini?Pale yeye kanunua zote 49% kwa 20 billion ili ule mchakato tuendelee sasa hao wawili wakija watauziwa kwa bei ya soko,Mo amechungulia mbali ndio maana amezishika 49% kwa pamoja kwanza,halafu vitabu vya mahesabu vikiwekwa sawa atapiga pesa ndefu sana.
Unafikiri faida atapata tshs ngapi ishu ikienda DSE? Ata tukimchukia Mo kumbuka kuna msemo MWENYE NACHO UONGEZEWA na tunachomfanyia Mo ni kama kumpiga CHURA teke ni kumuongezea mwendo. Mo ni mfanyabiashara mkubwa unafikiri kanuni au mizengwe akujua kana kwamba aingie kichwa kichwa atoe 20 billion tu. Huyu ndio Angel investor MO na siyo mwenzetu kabisa mkuu.
Poleni sana Mtani. Mzee Kilomoni ni Jeshi la mtu mmoja bana maana amejua kuwatia wahaka.Bado yupo sana cc Shadeeya
Hahaha sio kwa tambo hizi mtani.Poleni sana Mtani. Mzee Kilomoni ni Jeshi la mtu mmoja bana maana amejua kuwatia wahaka.
Sababu watani zangu Ghazwat na OKW BOBAN SUNZU walikimbia hili jukwaa kipindi cha mshike mshike wakati sauti ya ng'ombe (Mo) analia mitandaoni. 😀😀😀
Hahahaaa. Kama nawaona ambavyo mlikuwa mnaombea asirudi.Hahaha sio kwa tambo hizi mtani.
Ama sababu commando kipensi in the house
Aisee huyu jamaa naamini Ndio Moo dewji wenu! Naamini mmesha mlipa malimbikizo na posho zake zote.Hahahaaa. Kama nawaona ambavyo mlikuwa mnaombea asirudi.
Kuna sehemu Dada yangu Shunie kanitag na kunitag kwa raha tu alizokuwa nazo kisa uzi unasema Zahera harudi Jangwani. 😀😀😀😀
Mujipange Msimu huu Mtani. 💃💃💃Aisee huyu jamaa naamini Ndio Moo dewji wenu! Naamini mmesha mlipa malimbikizo na posho zake zote.
inaonesha wewe ni mmoja ya watu wasiojua chochote kuhusu hisa, Mo ana act kama mfadhili na sio marksman
Hahaha wacha tusubiri mtaniMujipange Msimu huu Mtani. 💃💃💃
Hivi we kwa akili yako ndogo unahisi mo anakosa milioni 700 kununua eneo LA kujanga eneo LA biashara kariakoo??
Karibu tarehe 04/08/2019 tukusanye kijiji Mtani.Hahaha wacha tusubiri mtani
Msije mkaanza kulia lia tu kutaka huruma kama mwaka Jana
Sio as Vital tena
CAF hao ndio changamoto Mtani kwa kutoa ratiba zao bila mpangilio kwani ndio mwanzo wa kila kitu kuvurugika.Sio as Vital tena
Sio kwa ku okoteleza uko
Mnataka muendelea kujipigia gori 7 saba kama kawaida yenu
Poleni sana. Nilihisi labda gharama.CAF hao ndio changamoto Mtani kwa kutoa ratiba zao bila mpangilio kwani ndio mwanzo wa kila kitu kuvurugika.
Si nimesikia hata nyie Simba Day mumeirudisha nyuma. Au si kweli?
Mbona mshindo anajulikana biashara zake na wala usitake kumuhusisha na mambo ya TISS sisi ni watu wazima hatudanganywi kitoto hivyo.Ww hamnazo kwahiyo unadhani simba atakabidhiwa MO kwa akili yako FUPI?
USITAKE TUWEKE VITU AMBAVYO HATA HUKUFIKIRIA KENGE MAJI WEWE.
KWA UFUPI MO HAPATI SIMBA WALA MASHAMBA YAKE.
KWENYE MIJADALA HII TULIA USIKILIZIE WATU WAKUPE DATA ZA MAANA. we unaleta ushabiki maandazi hapa? Hamnazo ww..
Sasa sikia hizo timu yaan SIMBA na YANGA ni timu za KISIASA hakuna mtu BINAFSI atazimiliki hata ashuke YESU ndio msingi wa 51% wanachama. BODI wataunda wao na kila kitu wao mwekezaji ni mtaji na gawio lake tu.
Watendaji wengi pale ni watumishi wa serikali na kadhaa ni TISS, ushawahi kujua MSHINDO MSOLA WA YANGA ANAFANYA KAZI GANI? WE UNADHANI HIYO SIMBA IKO HURU? WATENDAJI WAKE UNAWAJUA WANAFANYA KAZI GANI?
ACHA UNAZI WA KIPUUZI USIKUTE HATA KADI HUNA ILA KELELE KIBAO.
wenzako wanajua kuwa MO hapewi timu hata iweje, atafadhili ataondoka, atakuja mwingine. CLUB zile ni kwa madhumuni ya kisiasa na MO akijiingiza atafelishwa kama MANJI ni just MIAKA 4 hadi 5 utaona impact yake. Madili yake yote yatajulikana.
We unadhani JERRY MURO ALIKUWA MSEMAJI WA YANGA TU?
ACHA UJINGA BWAMDOGO.