MO Dewji Afanya Mapinduzi! Udhamini wa Vilabu 10 Kwenye NBC Premier League Wazua Gumzo

Simba ata idhamini Ligi yote kama Azam Bado kombe watalisikia tu kwakua hawana timu ya kushindana na Yanga.
 
Yaani no dewji atoe 3-5b kudhamini vilabu!!.. Mungu atuweke tuone
 
Nyuma mwiko unakutesa chomoa malinda yasha isha
 
Ikibidi aongeze dau ili zinazodhaminiwa ma GSm adhamini yeye pia.... Ligi iwe na ushindani. 😂😂
 
Simba walikuwa wanasema mtu mmoja/kampuni moja kudhamini timu nyingi haifai na inasababisha kupanga matokeo.

Vipi kuhusu hili la MO kudhamini timu kumi?
Ukielewa kwanini habari hiyo imekuja sasa hutapata shida. Huo ni 'mpango' mahsusi.
 
After two years mtamsikia kwenye interview akisema "ninamiliki timu kumi lakini hazijaniletea faida"
 
Manara alimaliza kila kitu
 
Ubaya ubwela
 
Team zitaweza kujiendesha nashauri Azam nae aongeze udhamini wake na Jambo waingie kupambania kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…