MO Dewji Afanya Mapinduzi! Udhamini wa Vilabu 10 Kwenye NBC Premier League Wazua Gumzo

Jibu hoja acha uzuzu...
 
Ko unataka kuniambia M0 kamzidi hela bakresa? Unasema mo tajiri namba moja kwa kigezo kipi?
 
Kwa hiyo GSM anabaki na matawi matatu / manne ligi kuu ?😏
 
Wekundu wa Msimbazi koma kujipendekeza kwa Me usiowajua si kila Mtu hupenda utaahira wako.
ALie vamia comment ya mwenzie nani..?. Na acha kutisha watu kifala nikujue kwani wewe mkewe wangu. Kama ww n wakiume basi na wasiwasi na wewe. Mwanaume unasema usiowajua. Tukujue kwan ww mwantumu mtoa utamu..?
 
Mke wako ni Mama yako Mzazi kenge wewe, kama una ID 2 si ungesema nisinukuu mada? Usimrushie adui mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo.
 
Kazi kwa wawekezaji ( wazee wa kubeti) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kunywa sumu.
 
Hatari sana
 
Yeye adhamini tu sie tunahitaji burudani uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…