Mo Dewji afikisha wafuasi milioni 1 Twitter na kutangaza kutoa milioni 1 kwa post yoyote itayopata retweet nyingi

Mo Dewji afikisha wafuasi milioni 1 Twitter na kutangaza kutoa milioni 1 kwa post yoyote itayopata retweet nyingi

Huko tutani watu wanakanyagana kisa ela ya mo..

Halafu watanzania ni wapumbavu.
Hapo ni kuwa unauza wazo lako la biashara kwa pesa za madafu..yeye mo anayakusanya yote anayafanyia kaz..!
 
Watu wengine bhana ni kutafuta lawama za bure tu. Mtu anataka kuinua wenye mawazo ya kibiashara nawe unaleta mambo ya kujenga misikiti. Unafikiri yeye hajui kwamba misikiti ina mahitaji au[emoji2]
 
Back
Top Bottom