Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bora hata yeye anawapa hiyo 1,000,000, mimi nisingetoa hata kumi maana waTz wengi ni omba-omba sana.Bilionea ( in terms of USD)
Zawadi Tsh. 1,000,000/=
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata yeye anawapa hiyo 1,000,000, mimi nisingetoa hata kumi maana waTz wengi ni omba-omba sana.Bilionea ( in terms of USD)
Zawadi Tsh. 1,000,000/=
[emoji23][emoji23]
Wapwa na Wakulungwa ndio wamejaa kuleWanajiitaga Mabroo [emoji23][emoji23][emoji23]
Umedandia treni kwa mbele
Ni 1M au zaidi kwa washindi kumi.
Hapo ni sawa na 10M au zaidi.
Kuna mabroo hao ndio wanajifanya wenye hela.
Kuna wapwa, hawa ni choka mbaya.
Sasa hii 1M ya Mo imewakutanisha mabroo na wapwa wote wanaomba retweet na like. Kwenye page ya Mo imekua ni battleground mpya.
Wakuu gusa link hiyo ili uniwezeshe nishinde hiyo milioni moja (1) toka twa Mo Dewji.
Hakisha una RETWEET
Asante