Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

Tuliwambia Wasione MO amenyamaza wakadhani yameisha.

It will backfire even after 1000yrs.

Bora Tundu Lissu anaongea yanaisha anapunguza msongo.
 
Mbona alipotoka alisema alikuwa anapewa chakula na wao ndio walikuwa wakimuhimiza ale. Siku 9 bila kula halafu uishi...???
Bado alikuwa hana uhakika hata baada ya kuachiwa. mo amesema kuna kitu cha siri hawezi kukisema. Bado huko mbeleni tunaweza kukisikia.

Baada ya Huu Clip kuna watu Watalala na viatu weekend hii
 
Magu alibonyeza pabaya na wao wakamjibu ndio huyo hatunae leo, mnataka zaidi?...
 
Magu alibonyeza pabaya na wao wakamjibu ndio huyo hatunae leo, mnataka zaidi?...
Kilichommaliza Magu alikuwa hana team wala kikosi kazi kizuri. Alikuja kugundua kila mtu anaemzunguka yupo kimasalahi. Na siku za mwisho za uongozi wake pesa ilikuwa adimu. Aliowaamini ndio waliomgeuka, katika uongozi wa Magu na mama wote hawana team thabiti yenye lengo moja kuu. Kila mtu nafanya maamuzi kivyake.
 
Sio kweli mhusika si magu wala makonda ilikuwa mission ya kumchafua Magu na aliyefanya ni mstaafu ndio mana Mo anasema tuyaache..siku hz hutamuona na mstaaf maana anamjua alichofanya
Kwa kweli wewe ni hayawani. Yaani mstaafu alikuwa na nguvu gani ya kuweza kutafuta watekaji na na kuwatuma eneo lile linalolindwa sana katika jiji la Dar.

Hivi hata watu wa Kazuramimba na Nangurukuru kweli mnaijua Oysterbay? Au mnajiandikia tu kama headless chicken
 
👆 👆 Ameongelea pia kuhamia U.A.E na mwendelezo wa biashara zake. Nimetafsiri kama alivyozungumza Mo kadri ya uwezo wangu sijaongeza wala kupunguza maneno

Mo Dewji hajasema ana nia ya kuondoka nyumbani Tanzania bali alikuwa anajibu wepesi wa kufungua biashara nje ni rahisi na anatamani nchi za kiafrika pia kuwa na mazingira hayo kama yalivyohuko UAE, US, UK ili bara la Afrika lipate uwekezaji zaidi

15:49 Is it easier to open a successful business in UAE, US and UK or Africa
 
Hatimae ukweli tumeupata, watu wa vijiweni kama kawaida yao walianza kuzusha stori, eti alizidiwa na madawa ya kulevya kikatumika kisingizio cha kutekwa ili kuziba lolote baya litalotokea..... Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…