Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

Tajir inawezekana vp maisha yako yanatabirika na ratiba yako inajulikana.... Hapa ndio napata jibu kwann bakhesa hajulikani
 
Ujasusi wa kidola ulifanikiwa lakini wa kiuchumi ulifeli!!
Akili za kuambiwa changanya na zako!!

Chawa wabaya Sana hasa kama huna akili za kufikiria!!

Unaingizwa mkenge kuteka mfanyabiashara kwanini msiitane wawili mkaongea yakaisha TU kiaina bila drama!!?

Kama anahujumu serikali.mwambie live aache akigoma shauriana na Baraza la usalama Cha kufanya!!

SEMA wahuni walimuingiza chaka sana au waliamua kumkosanisha na Raia Ili wapate justification ya next stage!!

RIP mzilankende muyango,ulikua na Nia njema lakini mbinu zilikuangusha coz hukutaka mashauri inawezekana Kila mshauri ulimuona adui was serikali yako na Hilo ni chama changu kilaumiwe coz haiwezekani chama kimoja serikali Moja lakini hatuaminiani tunawindana!!

So sad!
 
Sababu ambayo anasema hatoitaja ni ardhi. Enzi zile za mwendazake kulikua na task ya kupora ardhi ambayo inamilikiwa na watu bila kuendelezwa. Refer Morogoro, sumaye na the like. Kumbuka billionea nae amewekeza pakubwa tu kwenye ardhi ambako activities zake zimesizz hivyo afsa wa wasiojulikana akaona kuna umuhimu wa kumpoka billionea ili ardhi irudi kwa wananchiii.
Basi alivyotafutwa ili asarende ownership kwa ajili ya gava.
Jibu likawa simple tu kua Hati iko kwa malkia alishachukulia mkopo bank.
Hapo ndio ntiti ukaanza.
 
Kuna oysterbay nyingine au hii hii?
Sema hilo la kupiga risasi hewani jamaa kaongeza chumvi
 
Yaani siku 9 HAJANYA ?!
Aisee mbona uongo huuu mchana kweupe.
Siku 9 Hujanya........Haiwezekani hapa changa la macho hili kabisa
 
Ukiangalia video nzima kuna mahali ameongelea maisha ya kuishi U.A.E ameelezea anaishi U.A.E na anasafiri mara mbili kila mwezi kwenda Afrika au Marekani.
 
Yaani siku 9 HAJANYA ?!
Kweli humu wengi ni wachanga wa mazingira!
Utakunyaje bila kula?
Unauelewa mnyororo wa digestive system?
Embu jitafiti mwenyewe kwa kufanya yafuatayo:
Nenda kanye, baada ya hapo usile wala kunywa chochote uone kama utabanwa haja tena.
Kukojoa utaendelea, lakini hamu ya kwenda haja itarejea utapotia msosi tumboni.
Funga kula siku mbili uone jinsi mavi yanavyohusiana na mlo wako.
 
"Tulikuwa na uongozi wa kibabe watu walikuwa wanaogopa kuongea"

Viongozi wetu wapunguze ubabe usio na maana.

Mwamba kuliko wote ni kifo.
 
Ukae siku zote hizo bila kula alafu uachiwe na kuweza kutenbea?
Mbona alipotoka alisema alikuwa anapewa chakula na wao ndio walikuwa wakimuhimiza ale. Siku 9 bila kula halafu uishi...???
Unaweza kukaa siku 9 bila kula na ubaki hai?
Uwezo wa mwanamke kukaa bila kula ni siku "hadi" ishirini na moja.Na mwanaume hustahimili "hadi" siku kumi na nne.Kama kuna marekebisho niwekee mkuu.
Mwanamke si 7
Mwanaume siku 5.
Huo utafiti mliufanyia wapi siku 21
Bila kula kabisa chochote?
Sasa naomba uje kwangu ukae siku 21
Bila kula niweze kuthibitisha ili nami niwe miongoni mwa watafiti kama wewe na ukitoboa kuna fidia
Hapo hata Mimi nimeshangaa
Yaani siku 9 HAJANYA ?!
Aisee mbona uongo huuu mchana kweupe.
Siku 9 Hujanya........Haiwezekani hapa changa la macho hili kabisa
Tajiri halafu muongo.

Yaani ponjoro akae siku 9 bila kula.

Anatupiga kamba hapa.

 
Sasa mkuu unaamini kweli hizo hadithi za huyo ponjori.

Muulize nani alimuua Dr. Fupi yule mkemia wa serikali, akijibu kwa kusema ukweli nitaamini hii hadithi yake ya kutunga.

Hiyo ni familia ya kifisadi tu. Ukiwa unaenda Arusha huko barabarani wamehodhi mahekta na mahekta ya ardhi ambayo ipo tu haitumiki. Ni familia ya kishenzi tu sema kwa umaskini wetu tunamuona wa maana hata kama hana maana.
 
I dont think it is this issue. Ardhi mbona rais ana mamlaka nayo na angeweza kufanya bila kupitia utekaji? Nilichosikia mimi (NOTE: inaweza kuwa uzushi) ni kuwa MO alikuwa kwenye kikundi kilichokuwa kinapanga hujuma za kumuondoa Magufuli kwenye kiti. Hii timu ilikuwa kubwa na ilihusisha watu wazito ndani ya CCM. Ambacho hawakukijua ni kuwa walikuwa wanafuatilia kwa kila hatua na simu zao zilikuwa zinarekodiwa. MO alihitaji sana kwa sababu ya ku-support kwa fedha. Hawa hawa ndiyo walikuwa wamepanga ikifika wakati wa uteuzi wa mgombea wa CCM 2020, anapowekwa mwenyekiti wa muda kuendesha kikao cha uteuzi, wabadilike ghafla na kuteua mtu mwingine kwa kuchinjwa jina la Magufuli kwa kuwa hatakuwa na nguvu yoyote ya kujitetea. Na-bet MO hatakaa aseme ukweli wa alichoulizwa na kukisema wakati ametekwa.
 
Ameongelea pia kuhamia U.A.E na mwendelezo wa biashara zake. Nimetafsiri kama alivyozungumza Mo kadri ya uwezo wangu sijaongeza wala kupunguza maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…