Mo Dewji aipongeza Yanga...agawa bodaboda kwa kila mchezaji wa Simba na kuongeza mkataba wa kocha.

Mo Dewji aipongeza Yanga...agawa bodaboda kwa kila mchezaji wa Simba na kuongeza mkataba wa kocha.

Bora wasiotoa? Kweli nimeamini kuwa Kati ya Yanga wote ni Mzee Akilimali pekee ndiye mwenye akili.
Hahahaaaa. Ni bora ukaamini hivyo tu Mtani.

Kwani kwangu naona ni bora asiyetoa kuliko anayetoa ahadi na kuibadilisha baada ya mifuko yake kunona.
 
Mmh. Mtani itakuwa umevurugwa leo sio bure. Kauli gani hizo unatumia.
Hizi zinatumika vijiweni bana na hapa sidhani kama ni mahala pake.
Hatukatai kumtetea Mo na hao Boda boda Fc wenzako ila tumia kauli nzuri basi.
Mtani mengine mnakera... mmepata jina jipya la bodaboda
 
Mtu mpaka forbes anajulikana, kanunua hisa 49% kwa 20 b

Ndio tra wamsumbue kisa kutoa milioni mia 250 kwa tim, hapo bosi kubwa kazingua.
Mkuu kuna bonus nyingi wamepata za fedha tena nyingi tu kama hatuna shukrani basi
 
Mi sio ubaya, maana mchezaji analipwa mshahara kila mwezi kwa kazi ya uchezaji..ukizingatia hapo awali alikwisha toa bonus nafikiri kufuzu Club bingwa afrika ,kufika robo fainali so swala la boxer ni zaidi na hakuna sehemu inasema ni lazima team ikichukua kikombe wachezaji wapewe motisha..tena kwa ligi ya kibongo mshindi zawadi haijulikani na ata haizidi milioni 90
Hatuongei mazuri tuko watu wa kulaumu tu
 
Mkuu huo wote ni wivu tu wa Vyura! Walibeba ubingwa Mara 3 mfululizo lakini Manji hakuwahi kuwapa hata Baiskeli! Leo hii wanalalamika Simba Kugaiwa bodaboda ambazo ni kama bonus tu na wala sio Malipo.
Tumeshawajua wala hatusumbui.. Kipindi wanaingia makundi Shirikisho mwaka juzi walipata 600+ml hivi wanajua zilienda wapi?
 
Sawa kabisa.. umeona jinsi ratiba tu inavyotusumbua mkuu,
Yanga imeanzishwa 1935, Simba 1936,. Hizi timu kukosa hata eneo la mazoezi ni sawa?..
Ikiwa tunashindwa kujifunza hata kwa TP MAZEMBE, MAMELODY huko ARSENAL tunataweza nini mkuu.
Upigaji mwingi vilabu vimeshindwa ata kuwekeza miradi ya uhakika ili vijiendeshe,matokeo yake ndo kama hiki knachoipata yanga leo au simba juzi
 
Badae usije ukaanza kulaumu kama mwanzo mlivobeza usajili wa 1.3 billion!! Lawama zinaanzia huku kwakuwa hata maana ya motives kwa players!! Simba akibeba ubingwa tena usijelaumu !!
Sasa timu imefika robo fainali ya African champions wanapewa bodabado?

Hawa makabacholi mi siwaelewagi kabisa

Hapo wangepewa hata million kumi kila mchezaji km bonus
 
Tunawasubiri kwa lawama za mwakani
Labda milioni 5 ni kigabacholi kwa kiswahili ndio bodaboda.

Mie ni mpenzi wa simba s.c kama kweli aliwaahidi milioni 5 basi awapasie milioni 5 zao, kwenda nje ya ahadi inavunja morali, usikute kuna watu walikuwa wameshapangia mpaka bajeti milioni 5 zao.
 
Bora kuwa na kidogo kuliko kuishi kwa kuomba barabarani, najua boda tampa mshikaji atapiga dili na kuniletea kipesa cha kula hata supu... Maisha haya sio ya kuishi kwa kuomba , yaani unasubiri efu moja ya mtu masikini ndio ukale duh hapana!! Kuwa na chako ndio habari ya mjini, unabeza boxer kati wewe hata baiskeli huna hahahahahaha khaaaa tanzania bana !! Yaani unaishi kwa kuomba afu unambeza mtu anae kula chips mayai kila siku!! Huu ushabiki maandazi ni wa ajabu sana, !! Pambaneni muwape hao wachezaji hata vistaleti kuwapa morali sio kukebehi akati huna hata baiskeli unakifa njaa
 
Back
Top Bottom