Hahahaaaa. Ni bora ukaamini hivyo tu Mtani.Bora wasiotoa? Kweli nimeamini kuwa Kati ya Yanga wote ni Mzee Akilimali pekee ndiye mwenye akili.
Mtani mengine mnakera... mmepata jina jipya la bodabodaMmh. Mtani itakuwa umevurugwa leo sio bure. Kauli gani hizo unatumia.
Hizi zinatumika vijiweni bana na hapa sidhani kama ni mahala pake.
Hatukatai kumtetea Mo na hao Boda boda Fc wenzako ila tumia kauli nzuri basi.
Aishi Manula... kipa wetu sio demu mkuuSasa Aisha anapataje demu?we bila shaka ni product ya kolomije,bodaboda fc bhana
Mkuu kuna bonus nyingi wamepata za fedha tena nyingi tu kama hatuna shukrani basiMtu mpaka forbes anajulikana, kanunua hisa 49% kwa 20 b
Ndio tra wamsumbue kisa kutoa milioni mia 250 kwa tim, hapo bosi kubwa kazingua.
Hatuongei mazuri tuko watu wa kulaumu tuMi sio ubaya, maana mchezaji analipwa mshahara kila mwezi kwa kazi ya uchezaji..ukizingatia hapo awali alikwisha toa bonus nafikiri kufuzu Club bingwa afrika ,kufika robo fainali so swala la boxer ni zaidi na hakuna sehemu inasema ni lazima team ikichukua kikombe wachezaji wapewe motisha..tena kwa ligi ya kibongo mshindi zawadi haijulikani na ata haizidi milioni 90
Tumeshawajua wala hatusumbui.. Kipindi wanaingia makundi Shirikisho mwaka juzi walipata 600+ml hivi wanajua zilienda wapi?Mkuu huo wote ni wivu tu wa Vyura! Walibeba ubingwa Mara 3 mfululizo lakini Manji hakuwahi kuwapa hata Baiskeli! Leo hii wanalalamika Simba Kugaiwa bodaboda ambazo ni kama bonus tu na wala sio Malipo.
Wachezaji wamepokea.. Yanga wanawazuia.Mkuu kuna bonus nyingi wamepata za fedha tena nyingi tu kama hatuna shukrani basi
Binadamu kazi mkuu!!Hatuongei mazuri tuko watu wa kulaumu tu
Kiukweli mo kajitahidi sana tena sana wachezaji wamepata mabonus ya kutosha karibia pesa zote zilizokuwa zinapatikana zilikuwa zinakwenda kwenye bonusBinadamu kazi mkuu!!
Shida sio kupata ngapi, shida ni ahadi ndugu ahadi ni deni.Mkuu kuna bonus nyingi wamepata za fedha tena nyingi tu kama hatuna shukrani basi
Upigaji mwingi vilabu vimeshindwa ata kuwekeza miradi ya uhakika ili vijiendeshe,matokeo yake ndo kama hiki knachoipata yanga leo au simba juziSawa kabisa.. umeona jinsi ratiba tu inavyotusumbua mkuu,
Yanga imeanzishwa 1935, Simba 1936,. Hizi timu kukosa hata eneo la mazoezi ni sawa?..
Ikiwa tunashindwa kujifunza hata kwa TP MAZEMBE, MAMELODY huko ARSENAL tunataweza nini mkuu.
Sasa timu imefika robo fainali ya African champions wanapewa bodabado?
Hawa makabacholi mi siwaelewagi kabisa
Hapo wangepewa hata million kumi kila mchezaji km bonus
Labda milioni 5 ni kigabacholi kwa kiswahili ndio bodaboda.
Mie ni mpenzi wa simba s.c kama kweli aliwaahidi milioni 5 basi awapasie milioni 5 zao, kwenda nje ya ahadi inavunja morali, usikute kuna watu walikuwa wameshapangia mpaka bajeti milioni 5 zao.
ππ Wabongo bhana...πππYanga wamepewa nini tofauti na futari?