Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Hivi yule cjui Mrundi vile cjui Mnyarwanda aliyeanza kucheza soka tangu Mo yupo shule IST, na mwenyewe alikuwepo uwanjani?
 
watu millioni 20 kwa miaka takribani 80 wameshindwa kujenga hta uwanja wa mazoezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Mwekezaji anataka kila mechi ashinde as if uwanjani anacheza na team/wapinzani vivuli tupu.

Atengeneze timu yake ili aweke pesa zake anakua kama hajaenda shule bhana.
mwekezaji amewekeza hela nyingj cha ajabu timu inashinda mechi nyepesi dhidi ya ndanda, mechi ngumu km za azam, yanga na mtibwa timu inastruggle kupata matokeo

sasa jiulize ikiwa mechi za ndani timu inastruggle kupata matokeo vipi kuhusu klabu bingwa dhidi ya al alhly

kwa hili namuunga mkono mo kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale Yale, hao uliowataja nao wana malengo yao pia.
 
Huyu anataka atufanyie kama kigwangala ambae anasema tujiajiri huku yeye mwenyewe kaajiriwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aondoke tuone kama ana jeuri hiyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ajiuzulu tu STAMINA aongeze verse kwenye wimbo wake, amzike Kichuya mpaka na simba.
 
Alishasema simba ni kama mke wake

Ndio shida timu kuendeshwa na hela za mtu mmoja , badala timu iendeshwe kama taasisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…