.......baada ya kupigwa mkwara na Bashite!!“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba" - MO DEWJI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga sana! Huko shuleni ulijifunza ujinga. Rudi tena shule.Mburula baba yako na mama yako na uko mzima wa kwenu,sioni koosa la wewe kunitukana,fala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh acha kupanic ndugu take easy!!Mburula baba yako na mama yako na uko mzima wa kwenu,sioni koosa la wewe kunitukana,fala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilivyoona tu huu ujumbe, nikajua tu atalazimishwa arejee nafasi yake........baada ya kupigwa mkwara na Bashite!!
tuanze mapema maandalizi ya bakuli la kubwa kuliko ipo siku tena si mbali atatuacha solemba huyu bwanyenye
Wee mburula hajakanusha bali ameomba radhi!
Huyu mhindi hafai kwa lo lote anapenda sana kuabudiwa! Sijui wafanyakazi wake wana hali gani!