Mo Dewji alishawahi kuulizwa, ungetaka kua billionea tena ukirudisha ujanani akasema: "No"

Hawa matajiri wa kibongo wanatuona hatuna akili kabisa aiseeeee....🤔
Sasa kama hataki na hafurahii kuwa billionaire, kwanini anazidi kuwekeza?? Ama siafunge biashara zake zote ili arudi kwenye umaskini...😳
 
unaweza kua tajiri bila kua billionea
 
Hawa matajiri wa kibongo wanatuona hatuna akili kabisa aiseeeee....🤔
Sasa kama hataki na hafurahii kuwa billionaire, kwanini anazidi kuwekeza?? Ama siafunge biashara zake zote ili arudi kwenye umaskini...😳
Greed knows no limits! Kama unadhani kuwa billionaire kutakufanya kuwa happy, think again!
 
Pesa inaweza kununua Uhuru lakini siyo furaha, mtu akiwaza jinsi pesa inavyopush baadhi ya mambo yawe marahisi ndio maana watu wanazifukuzia.
 
Back
Top Bottom