Mo Dewji: Amekuwa akinitukana, nimemsamehe sina kinyongo na Haji Manara

Muhindi anajitokeza only pale makolo tunapofanya vizuri ......

Pia Nani asiyejua kuwa ana wivu na manara Baada ya kumzidi umaarufu
Daaaaah.... We jamaa ni yanga mwenzangu ila kiazi sana. Yaani Mo alivyo tajiri Africa aje amwonee wivu jamaa yako? Umaarufu wa chooni unaona nao ni umaarufu, kinyesi ni maarufu kwa kutoa harufu hakiwezi kujifananisha na cake dogo. Halafu mtu kama Mo anataka umaarufu wa nini? Ana pesa analipa watu hategemei uchawa kama wewe manara inabidi ushikwe shikwe hadi makalio ili upate pesa.
 
Kama alimtukana Karia akawatukana Yanga wote kuwatoa baba yake na Kikwete

Kwenye makuzi yake hakulelewa vizuri walezi wake walaumiwe kwa hili
Kuwakejeli wengine na kumtoa Baba yake na Kikwete tu lilikuwa jambo kubwa sana ambalo linalokaribia kwenye ubaguzi wa rangi, na halikupaswa kuacha tu kama ilivyo sasa.
 
Kaka watu maarufu wanajulikana forbes sio instagram na tz basi
 
"Mimi ni aina ya mtu ambaye siweki chuki ndani ya moyo wangu, Mungu amenijalia vitu viwili, kwanza sina wivu na mtu, pili sibaki na kinyongo, maanake ikitokea jambo mimi nasamehe namwachia mwenyezi Mungu". [emoji1752][emoji1548]
 
Kaka watu maarufu wanajulikana forbes sio instagram na tz basi
Kwani umeona sehemu yoyote nimeandika sope kamzidi mo umaarufu rudi kwa niliemreply utaelewa kwann nimeandika hivyo
 
Huwa sina kinyongo na Mo hata akosee vipi!
Kupitia kampuni yake, walitupa dili ambalo liliniwezesha kununua gari yangu ya kwanza.
Mungu baba wa Mbinguni ambariki na kumzidishia 'kijana wake' Mo...
 
Kwanini usimshauri Manara amfuate Mo wayamalize badala ya kusubiri biss Mo amuite?
Kuwa mkubwa ni jalala, leading by example. Yeye kama mkubwa kiumri, kipesa na kimadaraka anapaswa kuonesha njia
 
Yuko sahihi kati ya mo dewj na manara nani hatakiwi kumjib mwezake hilo ndo lakujifunza
 
Muhindi anajitokeza only pale makolo tunapofanya vizuri.

Pia Nani asiyejua kuwa ana wivu na Manara Baada ya kumzidi umaarufu
Ungetumia ubongo ungejua kwamba interview hii imefanyika kabla ya mechi na Horoya.Siku nyingine ficha ujinga wako.Umaarufu wa nini?Kuropoka?Mo jina lake lipo kwenye jarida la Forbes. Amehojiwa na CNN na BBC.Manara ana umaarufu kuliko Mo?Mo ana ajiri watu 30000.
Wacha utani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…