Mtoa Mada ameamua kutumia hizo sentensi kutoa ya moyoni.
Wapi Manara katajwa?
Manara kawa gumzo jijiniWaliosoma 'Mwenge Secondari' hawawezi kuelewa
Manara anapewa kiki na mleta mada
Ukiwa na pesa aisee hukosei...ahaa. ila alichotaka kusema kwa mawazo yangu ni kwamba "Kuwa mwangalifu saana na watu ambao wanakwepa wajibu wao kwa kile wanachotakiwa kuwajibika (majukumu yao)..kwangu mimi hii kauli nadhani ili walenga saana wachezaji wa simba kwa vitendo vya "kipuuzi" walivyofanya baadhi yao ..kama kutoroka kambini kabla ya mchezo wa nusu fainali ya sports pesa na aina ya mchezo walioonyesha baadhi yao kwenye mechi hiyo ya nusu fainali...hata kama Sportspesa haikuwa kipaumbele kwa Club lakini kwa wachezaji walitakiwa kuchukulia michezo ile kama nafasi ya nadra saana kuweza kujitangaza kwa kuonyesha viwango vyao pia walitakiwa kuonyesha tabia njema nje na ndani ya uwanja....Mara baada ya msemaji wa simba sc kutoa kauli tata bosi wa klabu hio Tajiri kijana bwana Mo Dewji kupitia platform yake ya Facebook na Instagram amempiga kijembe cha kiaina msemaji huyo anayesifika kwa kuropokaView attachment 1007867
Sent using Jamii Forums mobile app