Mara baada ya msemaji wa simba sc kutoa kauli tata bosi wa klabu hio Tajiri kijana bwana Mo Dewji kupitia platform yake ya Facebook na Instagram amempiga kijembe cha kiaina msemaji huyo anayesifika kwa kuropoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app