mjunangoma
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 350
- 349
Nono no noAchana na mnyama. Kule Jangwani mnakoendeshwa kisanyansi kuna nini cha maana?
HIVI NANI ANAONGOZA LIGI VILEEE??Inatakiwa mkae mezani mjadiliane sio kukimbilia mitandaoni tu.
Kujiuzuru ni kuvunja mkataba ina maana inakula kwake. Bosi Mo ampe stahiki zake ili ajiondokee awaachie litimu lenu butu mlilosajili kwa majina bila weredi.
View attachment 657658
Naungana na Mo Dewji,huyu kocha hawezi kuwa na kipya tena
---------
Baada ya SAA kadhaa kupita..
Klabu ya Simba na Kocha wake Mkuu Joseph Omog wameamua kwa pamoja kuvunja mkataba baina yao kwa makubaliano maalum yanayozingatia maslahi ya pande zote mbili
> Uongozi wa Simba SC umesema unamshukuru kocha Omog na kumtakia kila la kheri kwenye maisha yake nje ya Simba..
Julio au Matola?Sasa ni wakati wa kumpa mzawa timu
Manara hata akijitutumua ni mtoto wa Jangwani.Simba bwana mnachekesha sana maana kwa kipigo cha juzi tu mumeaza kuvurugana. Haya yetu macho Yanga mbele kwa mbele