Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Suala ni timu zetu kuendeshwa na viongozi ambao wanaacha majukumu yao ya kiutawala na kuingilia masuala ya kiufundi.
Viongozi wamekuwa makocha, madaktari, mawakala, maskauti n.k.
Kwa hali hiyo, hata aje Guardiola, Van Gaal au Mourinho atapata shida sana kufanya kazi na kupata mafanikio.