Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123]
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123]