Mo Dewji amualika Rais wa FIFA kwenye mechi ya Simba SC na Al Ahly

Wakuu mbona mnapigana spana wenyewe kwa wenyewe haina haja ya kugombana mpira sio vita.
 
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.

SIMBA NGUVU MOJA

[emoji123]View attachment 2782913
wanamlipia nauli au anakuja kwa hela yake?
 
Uto hapo lile donda ndugu limewachoma hapo wanatamani wazibe masikio wasi sikie na macho ili wasione.
 
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.

SIMBA NGUVU MOJA

[emoji123]View attachment 2782913
Mweeh yaani rais aache mech muhimu mamelod sundown vs Al ahaly aje kuangalia uozo huu
 
Vipi una lakuongea mpaka sasa
IMG_1336.jpg
 
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.

SIMBA NGUVU MOJA

[emoji123]View attachment 2782913
Wewe kichwani zinakutosha kweli? Yani Mwamedi ndio kamualika Rais wa Fifa?

Yani hujui kama CAF ndio mwanachama wa FIFA?

Ficha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom