Mo Dewji amualika Rais wa FIFA kwenye mechi ya Simba SC na Al Ahly

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,842
Reaction score
16,058
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.

SIMBA NGUVU MOJA

[emoji123]
 
Natamani angelimualika pia kwenye ligi ya NBC agundue jinsi waamuzi walivyo weledi lakini chaajabu hawapangwi kuchezesha ligi ya mabingwa Africa, CAF
 
Miaka 10 ijayo msemaji wa uto atawajaza ujinga mashabiki wao kuwa rais wa FIFA hajawahi kukanyaga lupaso kuangalia ball. Kama wanavyojizima data leo hii eti wao ndo wa kwanza kuvaa medali za caf wakati Simba washavaa miaka 30 nyuma huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…