Peleka ujinga uko. Mkianza kuwashwa washwa mnatafuta midume kwa lazima.Sasa kuwashwa kwako kumefikaje hapa?
Ana genye huyo achana nae.Kalewa ndo nini
Umetafuta namna ya kumchomeka GSM mpaka umeipata.Soka la Tanzania lina imarika sasa. Hawa ni wawekezaji na wenye maono ya maendeleo ya timu.
Pongezi Mo, Pongezi GSM
Kwa hio unatafta mme?Peleka ujinga uko. Mkianza kuwashwa washwa mnatafuta midume kwa lazima.
wanamlipia nauli au anakuja kwa hela yake?Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123]View attachment 2782913
Mweeh yaani rais aache mech muhimu mamelod sundown vs Al ahaly aje kuangalia uozo huuMuwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123]View attachment 2782913
Ngapi ngapiVipi una lakuongea mpaka sasaView attachment 2787319
Wewe kichwani zinakutosha kweli? Yani Mwamedi ndio kamualika Rais wa Fifa?Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123]View attachment 2782913
Hii CUF ya Lipumba au ya MaalimSeif?Analipiwa na fifa pamoja na cuf