Tetesi: Mo Dewji anawekeza kwa majirani Uganda pia

Tetesi: Mo Dewji anawekeza kwa majirani Uganda pia

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
359
Reaction score
613
🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA.

Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬

Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohamed amedhamiria kuwekeza Uganda.

Express FC msimu huu imeshika nafasi ya 10 katika msimamo wa Ligi iyo ikiwa na jumla ya Alama 32 Ikiwa imefunga Magoli 36 na kuruhusu Magoli 38.

Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito kama sisi
 
akiwekeza watamfukuza simba, simba is his reputation, his legacy, his respect in this country, akitoka hapo ni mjinga mjinga tu kama wengine wengi. bongo watu awakupi heshima kama huna la maana zaidi ya pesa, hata uwe billgates unaonekana fala tu, kwa watu, ukisema mimi tajiri watu wanasema so??
 
Kama ni kweli litakiuwa jambo zuri sana. N a itapendeza zaidi akimuhamishia huko Try Again akaongoze hiyo timu.
 
Back
Top Bottom