Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yale madude siyapendi kabisa, sio salama hata kidogo. NI ubahili wa kununua matairiNa huko kwenye biashara nako ni kuiga tu products za watu, kwa kubadirisha majina tu!!kama kwenye vinywaji ndio balaa, anasubilia azamu aanzishe kinywaji kipya sokoni kikikubalika tu utasikia naye huyo!!anaongeza neno MO"....ila kinachomshinda ni radha kuipatia!!labda kitu ambacho hakuiga alitumia akili yake ni yale maguta yake ambayo yanalia kama genereta la meli, kelele tupu!!!
Things are not easy as u think.....af punguza unazi...this is real money economy and not paper based.....mo Kama mo Simba imemtia hasara ni vile tu imeonesha futureBilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana.Najribu kukushawishi unanzishe kingamuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara.Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari kwa mustakbali wa soka nchini.
Ukiangalia mambo 2 makubwa la kwanza hakuna tv inayoingia mkataba na chama cha soka cha nchi husika kwa miaka 10 eti kwa bilioni 250 yaani kila mwaka bilioni 25.Mechi 4 tu za yanga na simba zinawarudishia gharama zote.La pili tff na karia hawaangalii maslahi kwani hii tenda waliyoipata azam ilikuwa inatakiwa iwe ya miaka 3 mitatu tu.
Kuipa miaka10 bila tenda ni ukiukwaji mkubwa. Tuna dstv,star times,na nyinginezo zingeshindanishwa na kupewa asilimia kila tv.Tff ingeingiza matrillioni.Kwa kuwa upo simba anzisha decorder yako na wafunze hawa TFF international broadcasting kama england.
Usikubali kuiingiza simba katika mtego huu.Simba ni timu kubwa wakitaka azam kuonyesha mechi zenu igeni real madrid au barcelona. Kila game wawalipe kiasi fulani kikubwa na kama derby isiwe chini ya 1billion shs. Najua watakataa, lakini njia bora ni wewe kama bilionea kuziokoa timu kama coastalunion,namungu,na nyinginezo. Karia kauza. Anzisha decorder yako. Watu ndio wataujua ukweli wa azam tv na TFF. Wewe ndio mwokozi wa timu ambazo hazina uwezo.
Sema huku hakuna financial fair play!!si ingekuwa balaaa!!!mapato ya timu milioni 50, matumizi bilioni 2!!!Things are not easy as u think.....af punguza unazi...this is real money economy and not paper based.....mo Kama mo Simba imemtia hasara ni vile tu imeonesha future
Watu wanasherehekea tu ....Ila ukija ndani ni balaa ... from no where mnapanda ndege kwenda Kigoma nnalala hoteli kubwa na vingine vingi halafu mwisho wa picha mmeingiza less than 20mil at a time, Simba inalipa wachezaji not less than 300 mil a month plus other officials 100 mill expenses like tours and meals more than 100 mil a month ....then Simba inaingiza shingap kwa mwezi .....pengine Mo haingizi more than one billion a month katika kampuni zote ambazo yumo ikiwemo Simba....Kuna kahasara fulani hivi hapo....note these approximations are based on logicSema huku hakuna financial fare play!!si ingekuwa balaaa!!!mapato ya timu milioni 50, matumizi bilioni 2!!!
Kwanza mimi ninachojiuliza hivi hao kina Mo, na GSM, kuna faida gani hasa wanazopata kutoka kwenye timu hizi?Watu wanasherehekea tu ....Ila ukija ndan ni balaa ....from no where mnapanda ndege kwenda kigoma nnalala hoteli kubwa na vingne vingi af mwisho wa picha mmeingiza less than 20mil at a time, Simba inalipa wachezaji not less than 300 mil a month plus other officials 100 mill expenses like tours and meals more than 100 mil a month ....then Simba inaingiza shingap kwa mwez .....pengine mo haingiz more than one billion a month katka kampuni zote ambazo yumo ikiwemo Simba....Kuna kahasara flan hv hapo....note these approximations are based on logic
Mo au yeyote anaetaka kuonesha mechi za ligi kuu, afanye yafuatayo:kwa sasa hata kama akiweza kuanzisha decoder yake hizo haki za kuonyesha ligi atazitoa wapi?
Mo au yeyote anaetaka kuonesha mechi za ligi kuu, afanye yafuatayo:
Atafute timu iliyopo ligi daraja la 1 au la 2, aingie nayo mkataba wa miaka 10 na anunue haki zote za matangazo ya timu hiyo, na mkataba umtake kuonesha mechi zote za timu hiyo (hasa za nyumbani - home) katika ligi yoyote itayoshiriki. Pia anunua haki zote za matangazo za timu hiyo.
Akishakuwa na mkataba na hiyo timu, apambane aipandishe daraja iingie ligi kuu. Hapo sasa ndio kutapokuwa na mgogoro wa kisheria kati yake na AZAM na TFF. Wao kina TFF watasema wana mkataba na Azam na ndie pekee mwenye haki ya kuonesha ligi kuu, yeye atawaambia ana mkataba na timu hiyo unaomtaka kuonesha mechi zote za timu, asipoonesha anakuwa anavunja mkataba wao. Ikumbukwe timu hii haibanwi chochote na mkataba wa TFF na Azam sababu haikuwa katika ligi kuu pindi TFF wanapoingia mkataba na Azam.
Mgogoro huu wa kisheria, utawafanya Azam na huyo mwingine kukaa mezani kujadiliana na hatimae haki za kurusha matangazo zinaweza kugawanywa.
Hawawezi kukutoa kwa sababu tu ya masharti yao. Timu za chini ya ligi kuu hazijapewa masharti ya kutoingia mikataba na wawekezaji, sasa huwezi kuzuia mtu kutekeleza mkataba wake sababu tu ya masharti yako ambayo yeye hakuwa sehemu ya makubaliano. labda kama utamlipia gharama za uvunjaji wa mkataba huo. Na hapo ndipo patakapolazimu majadiliano baina ya pande zote tatu, TFF, Azam na hao wengineMkuu ligi kuu ni mali ya Tff kupitia bodi ya ligi ko ukikubali kupeleka timu VPL inabidi ukubali masharti yao yote ikiwemo hio mikataba na kama hutaki unatolewa tu hushiriki ko usidhan ukifanya hivo utaumiza kichwa TFF au azam NO watakutoa tu kishiriki ligi
GSM anapiga hela kwenye jeziKwanza mimi ninachojiuliza hivi hao kina Mo, na GSM, kuna faida gani hasa wanazopata kutoka kwenye timu hizi?
Ukichukua mapato na matumizi ni kama ardhi na mbingu!!halafu utasikia jitu linasema ohhh eti wanatuibia?!!simba, yanga charter kubwa!!!
Umeshawahi kujiuliza GSM kabla haijaingia YANGA ilikuwa ikijulikana kwa kiasi gani? Halafu baada ya misimu kama miwili sasa imejulikana kwa kiasi gani? Na huko kujilikana kunawafaidisha vipi?....... MO na hao GSM hawaibi na wala hawachukui hela kutoka kwenye akaunti za timu ila hizi timu zinawapa kujitangaza kwa hali ya juu, ndo maana mtukane MO utakavyo ila pale hang`oki 😀 .......na yupo tayari aendelee kutoa hizo Bil 4 kuwapa Simba kila mwaka kwasababu anapata faida kubwa kwenye biashar zake kujishikiza na Simba..😀 😛Kwanza mimi ninachojiuliza hivi hao kina Mo, na GSM, kuna faida gani hasa wanazopata kutoka kwenye timu hizi?
Ukichukua mapato na matumizi ni kama ardhi na mbingu!!halafu utasikia jitu linasema ohhh eti wanatuibia?!!simba, yanga charter kubwa!!!
Onaa sas we unajua Forbes n nin hasa au unaongea tyuu kijana [emoji39]kalime tuu vingine achana navyoAtaanzisha kwa hela zipi? Zile za kufikirika za kwenye vitabu vya Forbes?
Hao Dstv na Startimes walikuwa wapi siku zote hizo kujitokeza kudhamini au kumpa changamoto Azam?
Bilioni 20 tu zenyewe za Klabu, mpaka leo anapiga kiswahili! Halafu ndiyo awe na uwezo wa kumchallenge Azam!!! Mambo mengine ni ya utani sana.
Jua kuwa Ligi Kuu bara na haki zake ni mali ya TFF na utakapo taka kucheza lazima uendane na matakwa ya TFF na washirika wake kwenye kuendesha hiyo ligi..Hawawezi kukutoa kwa sababu tu ya masharti yao. Timu za chini ya ligi kuu hazijapewa masharti ya kutoingia mikataba na wawekezaji, sasa huwezi kuzuia mtu kutekeleza mkataba wake sababu tu ya masharti yako ambayo yeye hakuwa sehemu ya makubaliano. labda kama utamlipia gharama za uvunjaji wa mkataba huo. Na hapo ndipo patakapolazimu majadiliano baina ya pande zote tatu, TFF, Azam na hao wengine
Mwanaum mzim na akil zakee anatolea mfano Huyo Bibi yenuu !! Kuna mtu kwel hapa , kachome chanjo kijan vingine vitakusumbuaHIZI NDO TUNAZIITA CHOKOCHOKO KAMA ANAVYOSEMA MA SAMIA,WATU WENYE AKILI ZAO WAMEKAA WAKASOMA MKATABA AFU MBWIGIRA MMOJA ANAKUJA KUWATOA AKILI
Wee mweny hela uko wap !! Samahan hv Mara ya mwisho kupelek familia yako out n Lin [emoji848][emoji848]Mo hana hela ni msela tu mmoja mjanja mjanja , billion 20 kutoa imekua ngojera
Tatizo lako, wewe unamfahamu Moo tyuuu!! Mimi hunifahamu kabisa!! Unaniita kijana wakati ni juzi tyuuuuu nimetimiza miaka 72!!Onaa sas we unajua Forbes n nin hasa au unaongea tyuu kijana [emoji39]kalime tuu vingine achana navyo
Kuiga ndo habar y mujini au mwenzetuu ulizaliwa umevaa na nguo ?? Au wazaz waliiga ? Bas umejua saiv tembea uch usiige saw mkuu ; harafu hilo dira la kijan linakupumbaz vibayNa huko kwenye biashara nako ni kuiga tu products za watu, kwa kubadirisha majina tu!!kama kwenye vinywaji ndio balaa, anasubilia azamu aanzishe kinywaji kipya sokoni kikikubalika tu utasikia naye huyo!!anaongeza neno MO"....ila kinachomshinda ni radha kuipatia!!labda kitu ambacho hakuiga alitumia akili yake ni yale maguta yake ambayo yanalia kama genereta la meli, kelele tupu!!!
Siku hz miaka tunapim kwa akil hat hyo kijan n heshma San ukizingatia na unachoongeaTatizo lako, wewe unamfahamu Moo tyuuu!! Mimi hunifahamu kabisa!! Unaniita kijana wakati ni juzi tyuuuuu nimetimiza miaka 72!!
Ngoj nikuach tyuuu! Sik hz watot hamn akil hat kidog. Mnatukan tyuuu bab zen mchan kweupe.Siku hz miaka tunapim kwa akil hat hyo kijan n heshma San ukizingatia na unachoongea