MO Dewji atembelea Klabu ya FC Porto kuangalia namna ya kushirikiana na Simba SC

MO Dewji atembelea Klabu ya FC Porto kuangalia namna ya kushirikiana na Simba SC

Kwani shaffi ni nani , kwanini asipewe udhamini yanga kwakuwa yeye ni mzoefu kwenda ghaibuni
Kwenda ughaibuni sio kigezo cha kupewa uongozi Yanga.Shafii ni mchambuzi wa michezo nimemtaja Kwa sababu yeye pamoja na wachambuzi wengine Kama Ali saleh wameshawahi tembelea vilabu vikubwa na kupiga maphoto na viongozi Kama Mo alivyofanya ila mfano nimemuweka Shafii kwa malengo yangu binafsi na matokeo yake nimeyaona baada ya kusoma komenti yako
 
Alishatembelea hadi juventus ,sijui iliishia wapi

Mo ni kanjanja tu, kama manji, kamwe ataondoka simba hata alivyosema atafanya , 50% hajatimiza
Anaondoka vipi na ana hisa!!?? Au unamaanisha kuuza hisa? Kumbuka ni mmiliki wa club kwa 49% so unaposema ataondoka sijui unamaanisha nini!!!
Simba ni yake yeye na wanachama wa Simba (ambao kiuhalisia hawana nguvu yoyote)
 
MO ameshajua anafanya kazi na Mbumbumbu kwaiyo anazidi kuwachota akili na Mi Mbumbumbu isivyo jitambua inakenua na kucheka.FC Porto watafanya mipango gani na Simba? Simba awana uwanja wa mazoezi, awana timu za vijana, yeye MO kawekeza Billion 20 kwa miaka 5 ivi mnawaona Porto timu ya Mchangani.

Yaani wafanye Mipango ya maendeleo ya Soka na mwekezaji ambae uwekezaji wake haufikii ata pesa ya ukarabati wa viti katika uwanja wao.
Timu haina ata kituo cha kulea vijana!! Porto wakisema waifuatilie Simba wataikuta ina wachezaji wenye wastani wa miaka 32 kitu ambacho kwa soka la ulaya aina iyo ya wachezaji wengi wanafikiria kustaafu.
Kwa ujumla MO alikwenda kufanya utalii na kupiga picha, kama mtanzania yoyote anaweza kwenda na kufanya ivyo kwakua wenzetu vilabu vyao ni sehemu ya utalii hasa club kubwakubwa zenye historia ndefu. Kwa ujumla Mbumbumbu mnazidi kuonyesha kwanamna gani mna akili za kushikiwa.
Awana = Hawana.
 
Ndiomaana nasema nyie Aliyewaita Mbumbumbu hakukosea, MO hana ata kituo cha Mpira,MO Si wakala wa Soka, Simba hawana timu za Vijana, Simba hawana uwanja wa mazoezi sasa Porto watanufaika nini na Simba? Porto wana Ma Skauti wa kutafuta vipaji, wana vituo vya Soka, wana vituo wanavyo Fanya navyo kazi Afrika, America, mbaka Ulaya tena vilivyo wekeza mabilion ya fedha. Yaani MO kawekeza Bilion 20 kwa miaka 5 Tena anadhamin timu yenye wachezaji Vibabu (Over Age) Wakafanye kazi ya maendeleo ya Soka na MO? MO alienda kufanya Utalii, wazungu sio wapumbavu ukaweleze habari za maendeleo ya mpira wakati hauna chochote kinacho usiana na mpira.ila kwakua Mbumbumbu mmeridhika sisi yetu macho.
Usiana = Husiana.
 
Simba ni kubwa kuliko Fc Porto.


Alisikika Haji Manara.
 
Back
Top Bottom