MO Dewji atembelea Klabu ya FC Porto kuangalia namna ya kushirikiana na Simba SC

Kwani shaffi ni nani , kwanini asipewe udhamini yanga kwakuwa yeye ni mzoefu kwenda ghaibuni
Kwenda ughaibuni sio kigezo cha kupewa uongozi Yanga.Shafii ni mchambuzi wa michezo nimemtaja Kwa sababu yeye pamoja na wachambuzi wengine Kama Ali saleh wameshawahi tembelea vilabu vikubwa na kupiga maphoto na viongozi Kama Mo alivyofanya ila mfano nimemuweka Shafii kwa malengo yangu binafsi na matokeo yake nimeyaona baada ya kusoma komenti yako
 
Alishatembelea hadi juventus ,sijui iliishia wapi

Mo ni kanjanja tu, kama manji, kamwe ataondoka simba hata alivyosema atafanya , 50% hajatimiza
Anaondoka vipi na ana hisa!!?? Au unamaanisha kuuza hisa? Kumbuka ni mmiliki wa club kwa 49% so unaposema ataondoka sijui unamaanisha nini!!!
Simba ni yake yeye na wanachama wa Simba (ambao kiuhalisia hawana nguvu yoyote)
 
Awana = Hawana.
 
Usiana = Husiana.
 
Simba ni kubwa kuliko Fc Porto.


Alisikika Haji Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…