Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Amesema hayo alipoulizwa kuwa ni kitu gani chenye gharama sana amewahi kukinunua, ambapo alijibu kitu kikubwa yeye kuinunua ni Club ya Michezo ya Simba.

Dah imeniuma sana hii kitu, mimi nikajua ni mwekezaji tu kumbe alikuwa mmiliki wa Club! Sasa michango yetu ya kila mwaka tunayotoa inaenda wapi?

Angalia video hapa chini.

 
Kanji-bhai ana matatizo sana ndo nn sasa hiki ndio maana anasajili wachezaji wa viwango vya hovyo😂🤣😁🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
20240228_125857.jpg
 
Back
Top Bottom