Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Amesema hayo alipoulizwa kuwa ni kitu gani chenye gharama sana amewahi kukinunua, ambapo alijibu kitu kikubwa yeye kuinunua ni Club ya Michezo ya Simba.

Dah imeniuma sana hii kitu, mimi nikajua ni mwekezaji tu kumbe alikuwa mmiliki wa Club! Sasa michango yetu ya kila mwaka tunayotoa inaenda wapi?

Angalia video hapa chini.

Your browser is not able to display this video.
 
Kanji-bhai ana matatizo sana ndo nn sasa hiki ndio maana anasajili wachezaji wa viwango vya hovyoπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…