Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Naona ni sawa tu kusema ameinunua maana shares zake ni 49%. Maamuzi anayo yeye
Kuna watu wengi (kumbe hata humu wapo) hawajui maana ya hisa! Wanafikiri mwana hisa ni sawa na mdhamini!
 
Ilikuwa ni swala la umoja kuelekea mechi ya jumamosi lakini alichokifanya ni kuleta taharuki ndani ya Simba.
Taharuki kwa wasiojua maana ya hisa, kwa ufupi wajinga. Nimeona hata JF kuna wajinga wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…