Mo Dewji atoa ufafanuzi sakata la mwekezaji Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-07-27-16-12-03.png

Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa. Ndugu zangu, si kweli. Utaratibu huu upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali.

Waziri Mwakyembe alituruhusu SIMBA tuendelee na mwekezaji mmoja. Ndugu WanaSimba Mimi nipo na niko na nyinyi, siendi popote. Na sasa tumeishazungumza na Serekali na mazungumzo ni mazuri. Nawasihi WanaSimba wote twendeni tukaishangilie Timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6. Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali.
 
View attachment 1164609

Du ila jamaa anajua anachofanya na ameng'ang'ania kwenye target.
 
View attachment 1164609

Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa. Ndugu zangu, si kweli. Utaratibu huu upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali.

Waziri Mwakyembe alituruhusu SIMBA tuendelee na mwekezaji mmoja. Ndugu WanaSimba Mimi nipo na niko na nyinyi, siendi popote. Na sasa tumeishazungumza na Serekali na mazungumzo ni mazuri. Nawasihi WanaSimba wote twendeni tukaishangilie Timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6. Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali.
Mwakyembe "aliaruhusu" kwa sheria hipi?
 
Mtamaliza vizuri na serikali.
Hawatabiriki hao
 
aweke bilioni 20 kwenye account aache utapeli

Washabiki wa Mzee Kilomoni wana elimu duni sana kuhusu Investment

Ukisikia Sheikh suleiman kawekeza kiasi Fulani Man City unadhan alimimina pesa hizo kwny Account over night?

Mzee Bakhressa ana akili nyingi sana kuamua kuanzisha Azam na kuachana na Team za Chama na Dola
 
Amsha amsha ya kuhamasisha watu kwenye mikia day,but hakuna kitakachobadilika zaidi ya mo kukubali tu kuwepo wenzake wengine 2 ili idadi ya wadhamini 3 itimie,cha kujiuliza kwann hataki mapartner ktk kuwekeza!
 
Wewe inakuhusu nini?Mna matatizo chungu nzima wachezaji wanagoma,kambini wanalala watatu watatu. Vyakula duni hamna vifaa vya mazoezi. Bado mnashughulika na Simba.Ujahili ni Ujinga.
 
Wamezoea kula tu.Sasa mirija imezibwa.Tafuteni kazi muda wa kuishi kwa kutegemea klabu umepita.
 
Chura wameteseka vibaya matikiti hoi awaamini bado yupo inauma iyo chomoa sasa
 
Back
Top Bottom