OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Du ila jamaa anajua anachofanya na ameng'ang'ania kwenye target.View attachment 1164609
Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa. Ndugu zangu, si kweli. Utaratibu huu upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali.
Waziri Mwakyembe alituruhusu SIMBA tuendelee na mwekezaji mmoja. Ndugu WanaSimba Mimi nipo na niko na nyinyi, siendi popote. Na sasa tumeishazungumza na Serekali na mazungumzo ni mazuri. Nawasihi WanaSimba wote twendeni tukaishangilie Timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6. Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali.
Mwakyembe "aliaruhusu" kwa sheria hipi?View attachment 1164609
Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa. Ndugu zangu, si kweli. Utaratibu huu upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali.
Waziri Mwakyembe alituruhusu SIMBA tuendelee na mwekezaji mmoja. Ndugu WanaSimba Mimi nipo na niko na nyinyi, siendi popote. Na sasa tumeishazungumza na Serekali na mazungumzo ni mazuri. Nawasihi WanaSimba wote twendeni tukaishangilie Timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6. Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali.
Mtamaliza vizuri na serikali.View attachment 1164609

aweke bilioni 20 kwenye account aache utapeli
Wewe inakuhusu nini?Mna matatizo chungu nzima wachezaji wanagoma,kambini wanalala watatu watatu. Vyakula duni hamna vifaa vya mazoezi. Bado mnashughulika na Simba.Ujahili ni Ujinga.Amsha amsha ya kuhamasisha watu kwenye mikia day,but hakuna kitakachobadilika zaidi ya mo kukubali tu kuwepo wenzake wengine 2 ili idadi ya wadhamini 3 itimie,cha kujiuliza kwann hataki mapartner ktk kuwekeza!
Sasa unataka adumbukize pesa yake tuu siyoDu ila jamaa anajua anachofanya na ameng'ang'ania kwenye target.
Mtamaliza vizuri na serikali.
Hawatabiriki hao