utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Pumba tupu... Huyo kibu unaemdharau leo hii aliisadia hiyo Simba kufika robo fainali ya CAFCC, sasa kuna timu iko na mastaa zaidi huyo KIBU sasa sijui kama watafika hata iyo robo fainali!...Kwa forward za akina kibu na kyombo labda kombe la uji
Kama hili mkuu[emoji116]Kwa forward za akina kibu na kyombo labda kombe la uji
Yaani Moo anatuletea story kama za huyu mwamba[emoji116]Kashaanza kuwa comedian huyu [emoji1787]
Kibu D + kyombo. Unaambiwa kocha mbrazili amewakubali hawa washambuliaji kiasi cha kuuambia uongozi uachane na manzoki kwani hawa wanatoshaUbingwa tu wa ligi kuu tia maji tia maji halafu anawaza ubingwa wa caf, kwa mshambuliaji gani hasa? Bocco, Saido au Phiri?
Anazingua ila acha wajifarijiYaani Moo anatuletea story kama za huyu mwamba[emoji116]View attachment 2476609
Ingekuwa kuna uhusiano wa ubingwa wa hizi ligi mbili, basi walau Yanga ingekuwa inaingia makundi kila baada ya miaka miwiliUbingwa tu wa ligi kuu tia maji tia maji halafu anawaza ubingwa wa caf, kwa mshambuliaji gani hasa? Bocco, Saido au Phiri?
Guvu moya.Rais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.
Inyeshe mvua liwake jua lazima ubingwa wa Afrika uje nchini mwaka huu[emoji1787][emoji1787]
#[emoji881][emoji881]NguvuMoja#View attachment 2476581View attachment 2476582View attachment 2476583
Simba hawakwenda Dubai kufanya matibabu isipokuwa mazoezi. Huwezi kujua hatua aliyonayo ilihitaji matibabu ya aina ganiYANI INONGA NDIE MCHEZAJI BORA WA SIMBA MSIMU WA PILI SASA. KWANINI WASISAFIRI NAE KWENDA DUBAI KWA MATIBABU ZAIDI????