Mo Dewji awataka Simba kuleta kombe la ligi ya Mabingwa Afrika

Mo Dewji awataka Simba kuleta kombe la ligi ya Mabingwa Afrika

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Inyeshe mvua liwake jua lazima ubingwa wa Afrika uje nchini mwaka huu[emoji1787][emoji1787]

#[emoji881][emoji881]NguvuMoja#
20230110_185503.jpg
20230110_185510.jpg
20230110_185547.jpg
 
Ubingwa tu wa ligi kuu tia maji tia maji halafu anawaza ubingwa wa caf, kwa mshambuliaji gani hasa? Bocco, Saido au Phiri?
Kibu D + kyombo. Unaambiwa kocha mbrazili amewakubali hawa washambuliaji kiasi cha kuuambia uongozi uachane na manzoki kwani hawa wanatosha
 
IMENIUMA SANA SIMBA KUMUACHA INONGA DSM.

YANI INONGA NDIE MCHEZAJI BORA WA SIMBA MSIMU WA PILI SASA.

KWANINI WASISAFIRI NAE KWENDA DUBAI KWA MATIBABU ZAIDI????
 
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Inyeshe mvua liwake jua lazima ubingwa wa Afrika uje nchini mwaka huu[emoji1787][emoji1787]

#[emoji881][emoji881]NguvuMoja#View attachment 2476581View attachment 2476582View attachment 2476583
Guvu moya.
 
YANI INONGA NDIE MCHEZAJI BORA WA SIMBA MSIMU WA PILI SASA. KWANINI WASISAFIRI NAE KWENDA DUBAI KWA MATIBABU ZAIDI????
Simba hawakwenda Dubai kufanya matibabu isipokuwa mazoezi. Huwezi kujua hatua aliyonayo ilihitaji matibabu ya aina gani
 
Simba watakosa makombe yoote lakini si Kwa kombe la ushirikina, kwenye ushirikina kuanzia ndani ya nchi hadi mashindano ya CAF Wana unbeaten ya hatari.
 
Back
Top Bottom